Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Kubadilika kwa Mayyala na kuwa mpiga pambio za kusifu na kuabudu sera za mkulu nilishakuona muda mrefu mno na kuwa ni mtu aliyepo upande gani.
Ni haki yake kuwa popote lakini asiumize wengine kwa ufupi Mayalla keshakuwa mnafiki mno nakubaliana na mtoa post.
 
Waandishi waliopitia DTV na Channel Ten kuweni nao sana makini.. Kampuni tu ni ya chama unategemea nini
 
Pascal Mayalla jitokeze naona una like tu comments
 
Imebd nim-spy huyu mtu . He is alive . He is active
 
Sio kweli, ila ukweli ni kuwa paschal alikua anachukua hizo habari na kuxileta hapa lengo lake halikua kumchongea kabendera Bali yeye alitaka nasi tujue kinachoendelea kwa Wenzetu wanavyo Iona serikali yetu.
Na hata ukisoma vizuri maandiko ya paschal utaona kitu wanacho kiita kwa kingereza Ironically yaani kutoa sifa au utetetezi wa uwongo.
Yaani tunaweza sema paschal alikua anafanya kwa kiswahili wanasema machozi ya mamba
 
Acha afungwe kama amekosa ndo kazi ya jela au
 
Binafsi namuomba Mwenyez Mungu atupe maarifa watz tuweze kuondokana na JPM na ikiwezekana iwe ni marufuku kwa msukuma yeyote kugombea urais. Nchi hii imewah kupata marais kutoka makabila mbali mbali lakini hatukuwahi kuona unafiki wa kikabila kwa kiwango hiki.

Alikuwepo Nyerere mzanaki lakini hatuwaona wazanaki wakiwa wanafiki na wenye kuina nchi ni yao, Alikuwepo Mwinyi, Mkapa na Kikwete bt mambo yalikuwa utanzania tu wala sio umakonde au Ukwere. Wasukuma ni washamba Limbukeni sana. Lakini pia watu hawa hawashauriki na hawajiamini kabisa.
 
Eti angemwita pembeni aongee naye[emoji848]?
 
Wa-Tanzania let us not be naive. Kumsingizia brother Pascal kuwa chanzo cha kukamatwa kwa ndugu Eric si sahihi. Binafsi, sipendezwi na watu kukosa dhamana na kutupwa gerezani. Kule si kuzuri. Pia mtu kuwa remanded kunaathiri sana vibaya familia ikiwa mhusika ni bread-winner katika familia. Kwa maono yangu makosa yote yawe na dhamana. Having said that, lazima tuwe makini katika hili suala. Siamini kuwa vyombo vya usalama vina-base maamuzi yao kwa kusikiliza alleged informants pekee. There's got to be procedural steps taken leading up to the arrest and charging of someone. Hivi ikithibitika kuwa bwana Eric ni foreign agent mtasemaje? Msifikiri kuwa foreign agent ni kama kwenye filamu za James Bond. Wako wa kila aina. Sifurahishwi na Eric kuwa gerezani kama nisivyofurahishwa na m-Tanzania yeyote kuwa kunyimwa dhamana kwa kosa lolote lile. Lakini tusiyoyajua tusiyapigie debe. Blaming brother Pascal is not right. Yeye huchambua makala mbali mbali hapa and he does a good job giving both sides of the story. You do not have to agree with him but to brand him an informant is unfair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…