Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Kule kwetu wana msemo, kwamba aliyekuona ukiwa mchafu, hata ukioga huwa bado anakuangalia kwa kinyaa.

Labda mimi nimekuelewa, lakini wengi wataona unajisafisha tu, lakini ni wewe.

Angalia Tangu watu waanze kutekwa na kupotea, Serikali ilihusishwa moja kwa moja, ingawa wao wamekanusha mara zote, lakini Wananchi wao wameshikilia msimamo wao bila kujali wana ushahidi wa imani zao au la.

Kwa mtizamo huo naona kwasababu watu wamemuamini mtoa mada, ni ama yeye akubali ushahidi na maelezo yako na aanzishe uzi kukuomba msamaha, au JF iufute kwa kuamini ni upotoshaji, au waliache hili kwa kukupa benefit of doubt kwamba labda unachosema ni kweli ukuhusika.

Sisi kama sehemu ya jamii, sio wote tunauelewa sawa au mioyo sawa. wapo tunaoona huu ni uzushi tu kama uzushi mwingine, kwa sababu kuna watu wanapenda sana hizi tabia za kuchafua watu bila kujali ni kwa kiasi gani wanakuumiza, wewe na wanaokuamini, au familia yako kwa ujumla. wao hutoa tuhuma kama hizi kwa kujifurahisha, na kufurahisha watu bila kuona athari zake kwa mtuhumiwa.

Huwa na pambana sana kuomba ushahidi lakini mara zote watu hawataki kusikia.

Mwisho natoa pole, na naomba upambane JF wautoe uzi huu kama mleta mada hatoweza kuthibitisha ayasemayo. Kwani kazi ya JF check ni ipi?
 
This is the absolute truth. Pasko should pay.
 
Tumwelewe Pasco,
Haandiki hapa kuitetea Serikali bali kutupa Habari. Someni vizuri maandiko ya Paskali, someni katikati ya mstari. Pasco hawezi mchoma Kabendera kamwe. Pasco alikuwa anataka tusome magazeti bila kuonekana anayaunga mkono. Ni falsafa
Mkuu Mhe. ZZK, Zitto , thanks for this!. Uwezo wa wengi wetu humu kusoma katikati ya mistari, to read in between the lines, kubaini the motive behind ni mdogo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…