Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Takataka
 
Paskali Paskali Paskali, nakuasa kama alivyokua anakuasa baba yako Marehemu mzee Mayalla(RIP) njoo huku uelezee na uombe radhi kabla madunia hayajakukumba.

Namaliza kwa kusisitiza Paskali kujaga haraka
 
Kama ni kweli huyo pascal ajiandae maana nitashughulika nae, jinga sana hilo lizee linalojifanya kijana.
 
Uliyeleta hoja sikubaliani na wewe,Nadhani ulikuwa humuelewi Pascal,alichokuwa anakifanya ni kuitekenya serikari kwa kutumia lugha laini wajitokeze wajibu tuhuma hizo ni uongo au LA.


Badala ya kujibu tuhuma za the Economist wakaishia kumteka Kabendera,si wanamagazeti ya Uhuru,Daily news na Tanzanite ya Musiba?hoja hujibiwa kwa hoja walishindwaje kujibu badala yake wanamfungulia mashitaka ya uongo.
 
Huo ni unafki mkubwa, kwani Hilo gazeti la Economist linasomwa na Pascal mayalla pekee?!
Kwa nini umuandame mayalla wakat gazeti linasomwa na kila mtu?
Kwani kaflag hakujuwa kile alichokuwa anakiandika kwamba iko siku kitakuja kutoa majibu bila kujua yatakuwa hasi au chanya?
 

Paskali Mayalla is a disgrace to human race!
 
Unadhani kwamba wateuaji Ni wajinga kihivyo wanapowatumia "unde covers agents"?

Wampe Uteuzi ili kuwathibitishia doubt zenu mlizonazo kwake huyo mwenzetu?

Wampe Uteuzi ili kumtoa rasmi hiyo "mask" aliyonayo?

If and only IF is true Ni mwenzao kutoka "kitengo" kile Maalum kamwe hatateuliwa ikiwa mission zao hazijakamilika, ataendelea kujinasibisha Kama alivyo ataendelea kuwa "kinyonga" ili kumatch na rangi za eneo husika atabaki kuwa "Panya" Mwenye kung'ata na kupuliza ili Kama Kuna malengo yoyote yatimie.
 
Kama kweli zile makala za economist ziliandikwa naye, ni haki kula jeuri yake. Ukimdhalilisha Rais wa nchi yako ni uhaini. Ni haki kubanwa.
Nchi haiwezi kuendesha mambo yake kihuni namna hiyo na tukakubali.
Kama mnamkamata kwa maandishi yake Economist ashtakiwe kwa hilo, iweje kumshtaki kwa ML na ES makosa yasiyo dhamana?
Huo ni uhuni dhidi ya RAIA wake na ni hatia kubwa kuliko makala za gazetini
 
Ukabila umekujaa! Usitumie mgongo wa ukabila ukidhani wote tu wajinga. Mtamzuia kiongozi kuingia kagera wewe na nani? Unamjua Kabendela Shinani wewe? Swala lipo mahakamani nenda kamtetee huko. "Otabituletamu'byejabuja amagezi twinegangi"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji1] [emoji12] [emoji1] [emoji12] [emoji1]
 
Kwanini usimsaidie kama kweli unamfahamu Frederick Kabendera kiongozi,

Binafsi jina hilo ndo nimelisikia leo, bado najaribu kufuatilia huenda ni ndugu yake na mwandishi wa kujitegemea Erick Kabendera anayeshikiliwa na jeshi la polisi.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wewe unaona kutumika na mabeberu kuichaifua nchi na rais wetu kipenzi kwa upande vya shekeli, ilikuwa ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…