Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Hapa ninachokiona watu Wa Lumumba na watekaji Wa Kabendera wameunzisha Uzi huu kwa malengo maalumu

Mlengwa hapa ni Pascal kwa sababu ndiye aliyewafungua wengi kuhusu gazeti la the Economist kuwepo kupitia jamiiforums,Pascal akawa kama wakala Wa the Economist hapa Tanzania kupitia jamiiforums,watanzania wengi wakaanza kulifuatilia hill gazeti kwa kupitia Pascal hasa alipokuwa anatafsiri maudhui yanayomhusu Magufuri kwa kiswahili,

Hapa shida ndo inaanzia kwa Pascal,mleta Uzi ameuleta kimkakati utaona hata wachangiaji wanamushambulia Pascal as if ni mwandishi Wa the Economist,hapa wanajaribu kumtisha Pascal asilete bandiko linalomhusu Joseph kasheku Msukuma tena kwani watanzania wengi wanalifuatilia hilo gazeti baada ya kuona haya ya kwetu yanaandika ugoro na kumtukuza Joseph Kasheku Msukuma.

Pascal kuwa makini brother wala Nyama ya watu wamenogewa,wanatakutafuta wanakuona mchawi, wako mbioni kukupoteza,Joseph Kasheku Msukuma Tajiri Wa Mwanza hapendezwi kabisa unavyowaambia wakanushe wakati wenzako hawana pa kuanzia kukanusha,kama wanasema Kasheku Msukuma is bulldozing the Economy wakati wanajua ni kweli wataanzia wapi?
Chukua tahadhari au Nenda Gamboshi brother ili watekaji wasikuone kwenye rada zao.
 
Narudia tena Fredrick Kabendera ni yupi huyo ?
Huwez kumjua wewe, bali wale wenye hofu ya Mungu ndiyo wanaomjua Erick Kabendera, wewe umetawaliwa na kiburi cha uzimu ndiyo maana umekuwa na moyo mgumu kama huyo unaemshangilia kwa maovu yake, but amini ipo siku mchana au usiku Mungu atayalipa yoteee, endelelea na dhihaka zako
 
Naiona taasisi nyeti ta usalama ambayo umeitaja hapa ianze mara moja kukufuatilia na wewe maana nawe pia unaunga mkono vitendo vya kihaini
 
Huyu mwanamke siku hizi kama kapagawa vile.....comments zake zinatia shaka...halafu ambavyo huwa anajinasibu kuwa ana exposure kubwa.....mmmmmmhhh....kuna kitu hapa si bure..
Yaani mmama ana manyonyo mazuri kabisa ya kunyonyesha mtoto/watoto, ajabu ni kuwa anaonekana kushabikia mtoto wa mwenzie kuteswa bila amri ya mahakama.
 
Uhamiaji alifata nini?
Kufanya uchunguzi; inabidi uelewe maana ya kesi. Hata ukiitwa polisi au katika chombo chochote kwa ajili ya uchunguzi au kutoa maelezo bado hiyo si kesi. Unaweza kuhojiwa juu ya tuhuma lukuki bado si kesi mpaka kile kinachosajiliwa katika masjala ya mahakama ndo kesi. Na hapo bado mahakama hufanya determination kama kweli ni kesi ya kujibu au laa. Hivyo yoote ya uraia, n.k kabla ya mahakamani hayakuwa kesi.
 
Ninaumia Sana ninapoona mateso wanayopitia wasema kweli ninaamini Kabendera atatoka salama
Mungu ibariki Tanzania
 
Njaa na ukabila vitamuhukumu Paschal na kizazi chake no matter how anainufaisha jamiiforums ningependa atengwe pia na members Kwa kosa la usinitch.
 
Acha ushamba wako kumtisha Pascal inawakela kwa sababu anapost Makala ambayo hamyapendi hapa jamiiforums ya the Economist tena kwa kiswahili.

Kama MTU anafanya vizuri hofu ya nini,Mpaka mmwage damu za watu haya mambo kuna siku yatakuja
kuwarudia,Jinai haifutiki kinga inaweza kufutwa kutokana na mahitaji ya jamii husika kwa wakati huo.

Tanzania ni yetu sote wala siyo ya Chadema,CCM,ACT wala MTU yeyote,Tanzania ni ya Watanzania.
 
Yaani mmama ana manyonyo mazuri kabisa ya kunyonyesha mtoto/watoto, ajabu ni kuwa anaonekana kushabikia mtoto wa mwenzie kuteswa bila amri ya mahakama.

Kuna siku alisema yy anachojali ni awe na afya njema ili aweze kufanya kazi na kujitunza yy na watoto wake...niliishia kuziba mdomo tu ....maana kwa sasa anaweza kujiona yuko salama ila siku litakapomkuta la ku,mkuta mtoto wake tena kwa kubambikiziwa ndo atakumbuka usemi wa "leo kwangu kesho kwako"
 
LA msingi hapo ni kuwa katika uandishi wake Ndg Kabendera hakuvunja sheria/kanuni yoyote katika kazi yake. Ndio maana hata hao polisi wanahanjahanja na mashitaka, kila siku wanaokoteza.
Siku hizi kujipendekeza ndio imekuwa mwendo wa wachumia tumbo, lakini hautodumu na mwisho wao utakujakuwa mbaya wa aibu. Atakapoondoka huyo mungu wao, wao watabaki na kovu/doa daima. Itabidi watafute pa kujificha kwani watasakwa ili walipe kwa uovu wao.
 
Njaa na ukabila vitamuhukumu Paschal na kizazi chake no matter how anainufaisha jamiiforums ningependa atengwe pia na members Kwa kosa la usinitch.
Nyie ndo masnitch,MTU yeyote ambaye yupo jamiiforums anajua mmeanzisha huu Uzi kwa malengo mahsusi,Pascal hawezi kuwajibu nyie Wa low profile kwa Uzi Wa kipuuzi mbaya zaid hata uchangiaji wenu unaonyesha ni jinsi gani mlivyo wapumba-----vu kama anavyowambia Joseph Kasheku Msukuma naye amewachoka kwa upumbavu wenu kama huu.
 
Kwa kifupi tunasema msiba Wa kujitakia hauna matanga. Kina Zitto & Co. Wamemtumia kisha watamtelekeza. Kelele za humu hata week haiishi watamsahau
 
....a,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%...
Unaweza kudhibitisha pasipo shaka tuhuma zako hizi!? Acheni kudanganyika na likes za JF.
===
Kwa mara ya kwanza wakati Pascal anapandisha uzi uliokuwa unatuonyesha jinsi The Economist walivyokuwa wanatudhiaki watanzania kutokana na maaandishi ya kibri na kebehi kutoka Jarida hilo (Kumbuka rais wetu wa nchi ni nembo yetu ya Taifa), ulichukua hatua gani kumshauri mwandishi na mhariri wa Jarida hilo kuacha mara moja ufedhuri dhidi ya nchi yetu!?

Si-ungi mkono hata mara moja uonevu, lakini yeyote anayedhiaki utaifa, utanzania, uafrika wangu na wenzangu pamoja na kudhiaki utu wa mtu kwa ujumla wake kwa sababu yoyote ile, anastahili adhabu yangu au ya mamlaka husika. Atasamehewa tu akijutia kosa lake kikweli kweli kiasi kwa namna yoyote ile hatagundulika kuwa anaomba msahama kwa hila.
 
Kwasababu kila kitu unadhani,na Mimi nadhani ungemshauri huyo Kabendera atumie akili zake sio za Mabeberu kama Lisu ili asije kuingia matatani kazi ambayo unadhani angeifanya Mayalla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…