Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
@Pascalmayala sizani kama ana husiana na Kabendera acha uchonganishi kuatalisha maisha ya mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua dunia gani wewe wakati ni mpumbavu tu mtea mfumo kandamizi!Kama Kabendera hana akili, what about mtu kama wewe ambae daily upo hapa kutetea udhalimu unaotokea nchini! Tutarudia tena na tena, hakuna udhalimu uliowahi kudumu madarakani! Na nyie vibaraka watetea udhalimu pia mna mwisho!!
Mkuu mbona povu linakutoka mpaka unarusha matusi kwangu? Kwanini ninyi wa aina yako mkishindwa hoja mnakimbilia matusi?Ni kipi cha ajabu ambacho Eric alikuwa anaandika hadi uweke uwezekano wa kuwa anaweza kuwa foreign agent? Ni kipi ambacho Eric amekuwa anaandika ambacho Watanzania wengine wasiopenda ujinga hawajaongea?! Taja JAMBO MOJA tu ambalo Eric amewahi kuandika ambalo wengine hawajawahi kulisema!!
Kwani ni uongo kwamba Magufuli ni dikteta?
Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakiuka katiba?
Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakandamiza haki za binadamu?
Kwani ni uongo kwamba sekta binafsi imevurugwa sana tangia Magufuli aingine madarakani?
Ni mwehu tu ndie atajifanya hayafahamu hayo na kuona anayesema hayo hadharani eti ni msaliti! Uliyoandika yote ni ujinga tu wa kujifanya upande mmoja una-care lakini short and clear, we nawe ni wale wale tu! Na kama Eric ni Foreign Agent, basi tunahitaji ma-Foreign Agents wengi zaidi kuliko taifa kuwa na misukule aina yako wanaojivika kilemba cha uzalendo fake wakati kimsingi sio wazalendo bali ni watetezi wa mfumo!
Nimesema anayejifanya hafahamu yanayotokea ni mwehu na mjinga! Na kwa hakika, ikiwa hadi kesho unajifanya huyafahamu yanayotokea, basi mimi nitakuwa ndie mwehu na mjinga nikiwaita watu aina yako kwamba ni werevu!Mkuu mbona povu linakutoka mpaka unarusha matusi kwangu?
Hoja ipi uliyoitoa?! Kwamba Kabendera anaweza kuwa Foreign Agent kisa tu anaikosoa serikali na rais?!Kwanini ninyi wa aina yako mkishindwa hoja mnakimbilia matusi?
Sasa nikikuita mjinga unalalamika! Ina maana ulivyofundishwa dikteta ni yule ambae hajachaguliwa na wananchi?Kama ndivyo ulifundishwa, basi ulidanganywa, nakupatia Britanica wanaokuambia kwambaNajibu maswali yako ifuatavyo:
1. Rais Magufuli SI dikteta kwa kuwa alichaguliwa kwa kura za wananchi walio wengi.
Na kwa maana hiyo, Dictator anapatikana kutoka kwenye aina hiyo ya utawala!!Dictatorship, form of government in which one person or a small group possesses absolute power without effective constitutional limitations.
2. Utawala wa Rais Magufuli haukiuki Katiba bali ni utawala wa sheria.
Hivi hata hili nalo unatakiwa kukumbushwa kwamba Kabendera awali alikamatwa kwa hoja ya kutokuwa raia lakini bado waliendelea kumshikiria over 24 hours kinyume cha sheria hadi pale walipokuja kuibuka na hoja ya uendeshaji sijui wa mtandao wa kihalifu, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha! Hivi unaamini rais anayejali haki za binadamu anaweza kuwa na utawala wa aina hiyo?! Au pia unatakiwa kukumbushwa kupitia influence ya Magu mwenyewe, Yusuf Manji alikamatwa na kupewa kesi za kipumbavu kabisa kama vile eti anahatarisha usalama wa taifa!!! Yaani hata aibu huoni wakati kila mmoja hadi sasa hafahamu ni wapi alipo Azory Gwanda aliyekuwa anafuatlia kile kilichoaminika matumizi mabaya ya nguvu za dola huko MKIRU!!! Yaani hata aibu huoni kwa hayo unayosema wakati ni mwaka wa pili huu Tundu Lissu bado anaendelea kuuguza majeraha baada ya kumiminiwa risasi kadhaa tena ndani ya nyumba za Bunge zenye ulinzi wa watu na kamera lakini hadi leo hakuna hata mmoja aliekamatwa! Mwaka wa 4 unaenda na bado haifahamiki Ben Saanane yupo wapi!! Hata vinyangatila kama akina ROMA Mkatoliki eti nao waliwahi kutekwa kisa tu wanaandika mashahiri yanayoikosoa serikali!!! Yote hayo, na mengine mengi yamefanyika under Magu Administration halafu tukisema wasioyaona haya watakuwa ni wehu na wajinga ndo uanze kulia lia!3. Rais Magufuli hakandamizi haki za binadamu. Uhuru upo mwingi tu ila uwe na mipaka.
Unatia aibu aisee! Wakati National Bureu Statistics wanakanusha habari za JF ambazo kimsingi zinazungumzia kuporomoka kwa ajira sekta binafsi, NBS wanasema4. Sekta binafsi iliyo halali inakuwa. Kipato cha mtanzania mzalendo asiye fisadi kinakua kila kukicha.
Na chini kabisa ya ukurasa wa 41 wa ripoti yao kuna jedwali linaonesha:-Kwa upande mwingine, ajira 137,054 sawa na asilimia 25.0 ya ajira zote zilizozalishwa na Sekta Binafsi zimepungua kutoka ajira 239,017 mwaka 2016/17 hadi ajira 137,054
halafu tena wanakuja kukanusha kwa kuandika kile kile kilichoandikwa JF!Ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
Utaniitaje mwehu na mjinga wakati naona uhalisia kama ulivyo tofauti na wewe na wenzako mnaotaka kubishana hata na takwimu za serikali hiyo hiyo mnayoitetea!Sitakuita mwehu au mjinga au msukule au jina lolote la kukudhihaki au kukukebehi. Siamini katika matusi.
Kwenye post yangu nilihoji,Tuongee hoja hapa.
Lakini wewe ukaishia kusema:Kwani ni uongo kwamba Magufuli ni dikteta?
Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakiuka katiba?
Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakandamiza haki za binadamu?
Kwani ni uongo kwamba sekta binafsi imevurugwa sana tangia Magufuli aingine madarakani?
Hapo hakuna hoja kwa sababu, jibu lako #1 jibu lake haliakisi tafsiri ya dikteta! Na mengine yaliyofuata yote, hayaakisi uhalisia huku mengine ukijaribu kutaka kubishana hata na takwimu za serikali yenyewe!!Najibu maswali yako ifuatavyo:
1. Rais Magufuli SI dikteta kwa kuwa alichaguliwa kwa kura za wananchi walio wengi.
2. Utawala wa Rais Magufuli haukiuki Katiba bali ni utawala wa sheria.
3. Rais Magufuli hakandamizi haki za binadamu. Uhuru upo mwingi tu ila uwe na mipaka.
4. Sekta binafsi iliyo halali inakuwa. Kipato cha mtanzania mzalendo asiye fisadi kinakua kila kukicha.
Mwanzo tu wa post yangu nilikuuliza,Narudia, siungi mkono mtu yeyote kukosa dhamana. Kwa maoni yangu makosa yote yawe na dhamana. Lakini naunga mkono Serikali kuchukulia hatua za kisheria watu sampuli ya Eric Kabendera kwa kuwa maandiko yao ni hatari kwa usalama na ustawi na taifa na nchi yetu ya watu milioni 55.
Hujajibu hilo swali!! Jibu hivi sasa!Ni kipi cha ajabu ambacho Eric alikuwa anaandika hadi uweke uwezekano wa kuwa anaweza kuwa foreign agent? Ni kipi ambacho Eric amekuwa anaandika ambacho Watanzania wengine wasiopenda ujinga hawajaongea?! Taja JAMBO MOJA tu ambalo Eric amewahi kuandika ambalo wengine hawajawahi kulisema
We una matatizo sana!! Kwa mfano gani wa maana ulioutoa?! Yaani unafananisha alichokuwa ameongea Peter Arnett via enemy's state tv tena wakati nchi yake ipo vitani na kile anachoripoti Kabendera kwa kukosoa what's going on in time of "peace"?! Kwa mtindo huo, mtaua sana awamu hii manake the well-minded population will never ever keep quiet! Na ndio maana hata baada ya kumminia Tundu Lissu makumi ya risasi, kumpoteza Azory Gwanda na Ben Saanane, lakini bado watu hawajamaza, na katu hawatanyamaza!Watu wanajadili hoja na kuweka mifano, wewe unaleta vilio vya matatizo yako. Nani akusaidie hayo? This is not an error of elitism. One stupid weak-minded creature can't be allowed to pollute this society simply, by using corrosive language against the President
I hope ni kupitia maelezo yangu ndo umemjua Peter Arnet. Toa shukrani kwangu! Hiyo ndo tunaita matumizi bora ya JF. Ukiondoa ubishi unaweza kujifunza mengi toka kwetu tunaokuzidi uelewa.We una matatizo sana!! Kwa mfano gani wa maana ulioutoa?! Yaani unafananisha alichokuwa ameongea Peter Arnett via enemy's state tv tena wakati nchi yake ipo vitani na kile anachoripoti Kabendera kwa kukosoa what's going on in time of "peace"?! Kwa mtindo huo, mtaua sana awamu hii manake the well-minded population will never ever keep quiet! Na ndio maana hata baada ya kumminia Tundu Lissu makumi ya risasi, kumpoteza Azory Gwanda na Ben Saanane, lakini bado watu hawajamaza, na katu hawatanyamaza!
Hiyo ni tuhuma nzito sana. Bwana Mayalla sijawahi kuonana naye ila nilikuwa ninamfuatilia tangu enzi zile. ninavyofahamu mimi ni kuwa huyu bwana ni mchokozi na maandiko yake mengi yana mantiki. Kumsingizia kama ulivyofanya bila kutupa uthibitisho siyo sawa kabisa. Lete madini ili nasi tuweze changia inavyostahili.Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!
Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.
Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"
Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.
Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.
HOJA.
Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.
Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?
Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.
Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?
Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.
Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Wewe mwenyewe hapo tayari una ukabila. Kwani gazeti linapoandikwa halitakiwi kusomwa na makundi yote hadi umlaumu Paschal Mayallah kwamba ndo aliwaamsha usalama kusoma hiyo habari ya Kabendera kwenye gazeti la The Economist?. Acha Uhaya yeye viachie vyombo vya dola vifanye kazi yake.Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!
Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.
Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"
Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.
Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.
HOJA.
Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.
Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?
Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.
Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?
Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.
Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Unachekesha sana. Seriosuly unaamini ni peke yako unayemfahamu huyo Peter Arnett?! Ni kipi kinachokufanya udhani ni peke yako unayemfahamu huyo jamaa?! Au kwavile unapenda sana kutumia Kiingereza ndo unadhani unajua kuliko wengine?!I hope ni kupitia maelezo yangu ndo umemjua Peter Arnet. Toa shukrani kwangu! Hiyo ndo tunaita matumizi bora ya JF. Ukiondoa ubishi unaweza kujifunza mengi toka kwetu tunaokuzidi uelewa.
Don't be a pedant person in daily life. At times, yes! At times, No! We are not doing body painting over here. The example of Peter Arnett I gave you should not be taken literary, rather deductively. There you see the logic of dealing with irresponsible citizens wherever they are. When you have stupid creatures who trade blasphemy hoping to receive words of thanks from outside their society, then it's time to deal with them equally, stupidly.
Para ya mwisho umeharibuNiombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!
Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.
Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"
Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.
Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.
HOJA.
Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.
Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?
Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.
Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?
Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.
Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Unatumia nguvu nyingi sana kujipa uhalali wa hapa JF. Unaweza kumfahamu Arnet au uli google ukamfahamu. Lakini nahisi hukujua chochote. Ungekuwa unafahamu hilo, usingeandika yaliyotangulia. Ni kama ulikuwa ignorant na dunia hii.Unachekesha sana. Seriosuly unaamini ni peke yako unayemfahamu huyo Peter Arnett?! Ni kipi kinachokufanya udhani ni peke yako unayemfahamu huyo jamaa?! Au kwavile unapenda sana kutumia Kiingereza ndo unadhani unajua kuliko wengine?!
Man, nenda kapekue kule International Forum uone ni mara ngapi nimeshiriki kikamilifu kwenye mijadala ya International and Geo-politics za US-Russia-Middle East Politics!! Pekua uone ni mara ngapi nime-fully participate kwenye China-US Trade and Politics!!! Kwahiyo ni ushamba wa hali ya juu kudhani kumfahamu/kumsikia Peter Arnett unayeshindwa hata ku-spell jina lake sawasawa, ni kitu special sana!!!!
View attachment 1206209
Hapo juu ni my subscription to various international papers!! Sasa ikiwa nalipia hadi kusoma international news bado unaamini kabisa naweza nisimfahamu mwandishi Peter Arnett na badala yake niwe nimemfahamu kutoka kwa mwana-Lumumba?
Btw, ni nini kinachokufanya uamini unanizidi uelewa?! I mean no disrespect lakini humu JF sijawahi kuona ukijadili jambo lolote la maana zaidi ya kutetea mfumo wa kidhalimu!! Au hivyo Viingereza vyako unavyopenda kuvitumia kial wakati ndo vinakufanya udhani una uelewa mkubwa? Yaani nyie wana-Lumumba ni kansa kubwa sana kwa taifa, sawa na Rais wako anayedhani kuwa na PhD ndo kujua kila kitu!!
Baba yake ndiyo alikuwa hukoInawezekana ni mmoja Wa wale jamaa hua simuelewi pascal
Njaa njoo na vile vimakala zako huku unahitajika
Mleta mada ni mkanda na mkabila. Period
Pascal Mayalla njoo huku utujibu
Hoja yako imejaa ubinafsi.Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!
Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.
Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"
Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.
Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.
HOJA.
Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.
Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?
Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.
Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?
Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.
Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Angalia ulivyo lofa!!! Eti natumia nguvu kujipa uhalali hapa JF!! Uhalali wa nini?! Nijipe uhalali kupitia wewe ambae unaonesha wazi hujui lolote na upo hapa kutetea mfumo dhalimu?! Btw, nini nilichondika kinachowiana na Arnett hata useme lau kama ningemfahamu basi nisingeandika?! Ni wewe na ujinga wako ndo maana ulimlinganisha Peter Arnett na Kabendera wakati ni vitu viwili tofauti!! Kama sio ujinga, hebu eleza hapa ni kipi kinachomfanya Eric Kabendera alinganishwe na Arnett kupitia kazi zao?!Unatumia nguvu nyingi sana kujipa uhalali wa hapa JF. Unaweza kumfahamu Arnet au uli google ukamfahamu. Lakini nahisi hukujua chochote. Ungekuwa unafahamu hilo, usingeandika yaliyotangulia. Ni kama ulikuwa ignorant na dunia hii.
Kama huna ignorance, basi una udhaifu wa kusahau kama viumbe wengine walivyo.
Bandiko zuri Sana limejaa majungu na uzuzu wa uchambuzi, ili niungane na wewe naomba unifaamishe yafuatayoNiombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!
Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.
Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"
Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.
Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.
HOJA.
Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.
Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?
Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.
Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?
Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.
Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Acha matusi basi! Kutukana ni kujidhalilisha. Si unajua JF inaweza kukupiga ban? Umesoma taratibu za JF, au hujali? Unatukana mtu ambaye humfahamu. Unamuita mzee mtu ambaye hata humfahamu. Alichokifanya Arnet siyo blunder kama ulivyoandika, labda kama una maana tofauti ya neno blunder.Angalia ulivyo lofa!!! Eti natumia nguvu kujipa uhalali hapa JF!! Uhalali wa nini?! Nijipe uhalali kupitia wewe ambae unaonesha wazi hujui lolote na upo hapa kutetea mfumo dhalimu?! Btw, nini nilichondika kinachowiana na Arnett hata useme lau kama ningemfahamu basi nisingeandika?! Ni wewe na ujinga wako ndo maana ulimlinganisha Peter Arnett na Kabendera wakati ni vitu viwili tofauti!! Kama sio ujinga, hebu eleza hapa ni kipi kinachomfanya Eric Kabendera alinganishwe na Arnett kupitia kazi zao?!
Hivi we mzee mbona mshamba sana wewe??!!! Of all people, why Arnett?!Kwanza kwa jinsi unavyoongea, napata shaka ikiwa hata huyo Peter Arnett mwenyewe umewahi kumfuatilia zaidi ya kujua habari zake juu juu hasa kwavile blunder yake ya Iraq ilitangazwa sana!!!