Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Perish the thought . you really expect anything from these stupid Tanzanians? All they do all day is run their mouths about Simba and Yanga games. Aise, you better switch up that mindset!Na kwa sababu hii pekee "wananchi wa Tanzania" wako tayari kuunga mkono sera ya "no reform no election
Inatakiwa iwe nini ili ikubarike na sheria?
Paschal anaogopa sana uzee unaomshambulia kwa kasi anahitaji kupata wataalamu kutoka Mirembe hospitaliView attachment 3247924
Paschal Mayalla
Paschal Mayala, ameandika makala yenye kichwa cha maneno “Wapinzani wasaidiwe kuachana na siasa za hadaa," katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, ukurasa wa saba (7), chini ya safu ya “Fikra Mbadala.”
Hoja ya Mayalla
Kimsingi, hoja ya Mayala inaweza kufupishwa kwenye matamko matano yafuatayo:
Uchambuzi wa hoja ya Mayala
- Lissu anapoulizwa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ndani ya chama chake yanaendeleaje, anasema kuwa Chadema haifanyi maandalizi yoyote ya uchaguzi kabla ya mabadiliko ya kimfumo, yaani ‘no reform no election’ na sio vinginevyo.
- Lakini, Tundu Lissu na Chadema yake hawana “uwezo” wa kuzuia uchaguzi mkuu kufanyika mwaka huu wa 2025, iwe ni kwa kujenga hoja sanaifu au kutumia mabavu.
- Kwa hiyo, sera ya “no reform no election” inayohubiriwa na Tundu Lissu ni “siasa za hadaa,” maana haziendani na uhalisia wa kisiasa uliopo nchini Tanzania.
- Siasa ambazo haziendani na uhalisia wa kisiasa uliopo nchini zinapaswa kupuuzwa na kila mtu makini.
- Kwa hiyo, siasa za hadaa kama vile sera ya “no reform no election” zinazohubiriwa na Tundu Lissu zinazopaswa kupuuzwa na kila mtu ikiwemo CCM na serikali yake, mpaka hapo wapinzani watakapokuwa tayari kuendana na uhalisia kwa kufanya “real politics.”
Hoja ya Mayala ni potofu kimantiki kuanzia kwenye dokezo la pili hapo juu, kama nitakavyoeleza hapa chini:
Raia yangu ni kwamba, Tundu Lissu na Chadema yake wanao “uwezo” wa kuzuia uchaguzi mkuu kufanyika mwaka huu wa 2025 kwa njia ya kujenga hoja sanifu hata bila kutumia mabavu. Hoja ya Lissu ni kama ifuatavyo:
Hitimisho na mapendekezo
- Tangu mwaka 2014 Tanzania tumekuwa tunafanya uchaguzi unaokiuka kanuni za haki, uhuru, ushindani na uwazi.
- Tumekuwa tunafanya uchaguzi unaokiuka kanuni za haki, uhuru, ushindani na uwazi kwa sababu ya ubovu uliomo kwenye Katiba, sheria, na kanuni za uchaguzi zilizopo.
- Hivyo, bila mageuzi ya Katiba, sheria, na kanuni za uchaguzi hakuna uchaguzi unaoheshimu kanuni za haki, uhuru, ushindani na uwazi unaoweza kufanyika nchini Tanzania.
- Lakini, Watanzania wengi wanataka tufanye uchaguzi unaoheshimu kanuni za haki, uhuru, ushindani na uwazi.
- Kwa hiyo, bila kushurutishwa na yeyote kwa njia ya mabavu, tunapaswa kusogeza mbele ratiba ya uchaguzi mkuu wa 2025 ili kupisha mageuzi ya kimfumo yanayotakiwa na umma wa Watanzania.
Paschal Mayala aachane na siasa za hadaa, akubali ukweli mchungu kwamba Tanzania ni dola ambayo ni Jamhuri ya KIkatiba na Kidemokrasia isiyopaswa kunajisiwa na wanasiasa matapeli wanaiba uchaguzi mchana kweupe.
Pia aache dharau kwa Lissu Jembe la Kimataifa na aepuke utapeli wa kucheza na maneno dhidi ya Watanzania.
Kama akijifunza kutofautisha maana za maneno "uwezo" na "uwezekano" atagundua kwamba sera ya ‘Hakuna Uchaguzi Kabla ya Mabadiliko’ inawezekana
Nawasilisha.
Dokta Mama Amoni, asante kunianzishia thread, bandiko hili ndio nimeliona leo.ili kumsaidia Mayala kuachana na tabia ya kuparamia mambo yaliyo nje ya uwezo wake.