Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliye anza kutoa boko, unatoa boko huku wenzako hawaja jiandaa kukaba unategemea nini?Na yule aliyepigwa chenga akaanguka hukumuona.
Shabalala ni mzuri kushambulia lakini kama mwamnyeto angekuwa Bora tusingefungwa Lile goli pia refa alipeta Ile penati aliyoshika
Aliye pigwa chenga ni Kibwana siyo MwamnyetoNa yule aliyepigwa chenga akaanguka hukumuona.
Shabalala ni mzuri kushambulia lakini kama mwamnyeto angekuwa Bora tusingefungwa Lile goli pia refa alipeta Ile penati aliyoshika
Mtakuwaje na wachwzaji wakati mashuleni mlifuta michezo🤣🤣🤣🤣Tanzania atuna wachezaji,atuna atuna atuna,tutabadili makocha mpaka wa mbinguni lakini tatizo lipo kwetu kama taifa.
Mbona pale kulikuwa hamna suala la kurudi...ilikuwa kuutoa tuu nje ule mpiraMuhammedi Hussein mfumo wa kushambulia kwa kutumia flank ya kushoto imemuadhiri sanaa huwa anajisahau sana akienda kurudi nyuma inakuwa ni issue kwake hasa kwa mwanzo wa huj msimu...nilimjona haga ktk mechi na kagera sugar alikuwa anaiyo kasoro ..lkn huenda baadae aka rejea ktk kiwango chake
Karia ndio anachagua wachezaji timu ya taifa?Ukiwa na Rais kama Karia unategemea nini?
Kwa uandishi huu bado sanaMuhammedi Hussein mfumo wa kushambulia kwa kutumia flank ya kushoto imemuadhiri sanaa huwa anajisahau sana akienda kurudi nyuma inakuwa ni issue kwake hasa kwa mwanzo wa huj msimu...nilimjona haga ktk mechi na kagera sugar alikuwa anaiyo kasoro ..lkn huenda baadae aka rejea ktk kiwango chake
Manura Tanzania one si angedaka?Na yule aliyepigwa chenga akaanguka hukumuona.
Shabalala ni mzuri kushambulia lakini kama mwamnyeto angekuwa Bora tusingefungwa Lile goli pia refa alipeta Ile penati aliyoshika
Si ujinga tu jitu hata mpira halikuangaliaAliye pigwa chenga ni Kibwana siyo Mwamnyeto
Nani aliye anza kutoa boko, unatoa boko huku wenzako hawaja jiandaa kukaba unategemea nini?
Okay tuachane na hayo ila yote kwa yote, Uganda wenzetu wamewekeza sana kwenye soka la vijana na wamelitilia mkazo.Mchezaji mpaka akifika ngazi ya club kawiva kweli kweli,hamna siasa ,uhuni uhuni na ujanja janja kama kwetu.
Hata kama Shabalala hasingetoa boko bado tungepigwa,Uganda wapo vizuri na ndio maana wanatupiga mara kwa mara,bado hatuja enda Kampala manake huko ndio itakuwa aibu.
Kwa hiyo unakosea ili wenzio wa rekebishe?Unatoa boko wakati wenzako hawajajiandaa kukaba dah!! Sasa wanafanya nini uwanjani nini maana ya kucheza kitimu? Mwenzako akikosea unarekebisha.Jaribu kuficha upuuzi wako babu