Paschal Msindo for now is better than Mohamed Hussein

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakuu Tutaendelea kuwa kichwa cha mwemda wazimu tu

Ujinga alioufanya Tshabalala Leo tumeuona ni muemdelezo tu

Tuache kuabudu majina Msindo alistahili kucheza LB
 
Assume national team anaitwa Ayoub lyanga

Ata kibwana shomari tu hafai
 
Kwani kumetokea kitu gani, naona kila mtu anamlaumu Zimbwe...

Game za Stars huwa sifuatilii zaidi ya matokeo
 
Na yule aliyepigwa chenga akaanguka hukumuona.
Shabalala ni mzuri kushambulia lakini kama mwamnyeto angekuwa Bora tusingefungwa Lile goli pia refa alipeta Ile penati aliyoshika
 
Nani aliye anza kutoa boko, unatoa boko huku wenzako hawaja jiandaa kukaba unategemea nini?

Okay tuachane na hayo ila yote kwa yote, Uganda wenzetu wamewekeza sana kwenye soka la vijana na wamelitilia mkazo.Mchezaji mpaka akifika ngazi ya club kawiva kweli kweli,hamna siasa ,uhuni uhuni na ujanja janja kama kwetu.

Hata kama Shabalala hasingetoa boko bado tungepigwa,Uganda wapo vizuri na ndio maana wanatupiga mara kwa mara,bado hatuja enda Kampala manake huko ndio itakuwa aibu.
 
Tanzania atuna wachezaji,atuna atuna atuna,tutabadili makocha mpaka wa mbinguni lakini tatizo lipo kwetu kama taifa.
 
Muhammedi Hussein mfumo wa kushambulia kwa kutumia flank ya kushoto imemuadhiri sanaa huwa anajisahau sana akienda kurudi nyuma inakuwa ni issue kwake hasa kwa mwanzo wa huj msimu...nilimjona haga ktk mechi na kagera sugar alikuwa anaiyo kasoro ..lkn huenda baadae aka rejea ktk kiwango chake
 
Kwenye club tumeshapata ufumbuzi ni kuleta wageni tu ili akili iwakae sawa.

Hivi yule mfungaji bora Mpole hajacheza?
 
Muhammedi Hussein mfumo wa kushambulia kwa kutumia flank ya kushoto imemuadhiri sanaa huwa anajisahau sana akienda kurudi nyuma inakuwa ni issue kwake hasa kwa mwanzo wa huj msimu...nilimjona haga ktk mechi na kagera sugar alikuwa anaiyo kasoro ..lkn huenda baadae aka rejea ktk kiwango chake
Mbona pale kulikuwa hamna suala la kurudi...ilikuwa kuutoa tuu nje ule mpira
 
Muhammedi Hussein mfumo wa kushambulia kwa kutumia flank ya kushoto imemuadhiri sanaa huwa anajisahau sana akienda kurudi nyuma inakuwa ni issue kwake hasa kwa mwanzo wa huj msimu...nilimjona haga ktk mechi na kagera sugar alikuwa anaiyo kasoro ..lkn huenda baadae aka rejea ktk kiwango chake
Kwa uandishi huu bado sana
 
Unatoa boko wakati wenzako hawajajiandaa kukaba dah!! Sasa wanafanya nini uwanjani nini maana ya kucheza kitimu? Mwenzako akikosea unarekebisha.Jaribu kuficha upuuzi wako babu
Nani aliye anza kutoa boko, unatoa boko huku wenzako hawaja jiandaa kukaba unategemea nini?

Okay tuachane na hayo ila yote kwa yote, Uganda wenzetu wamewekeza sana kwenye soka la vijana na wamelitilia mkazo.Mchezaji mpaka akifika ngazi ya club kawiva kweli kweli,hamna siasa ,uhuni uhuni na ujanja janja kama kwetu.

Hata kama Shabalala hasingetoa boko bado tungepigwa,Uganda wapo vizuri na ndio maana wanatupiga mara kwa mara,bado hatuja enda Kampala manake huko ndio itakuwa aibu.
 
Unatoa boko wakati wenzako hawajajiandaa kukaba dah!! Sasa wanafanya nini uwanjani nini maana ya kucheza kitimu? Mwenzako akikosea unarekebisha.Jaribu kuficha upuuzi wako babu
Kwa hiyo unakosea ili wenzio wa rekebishe?

Sababu kwanza baada lile boko Uganda walikuwa faster na kumbuka lile boko limetokea karibia boksi letu.
 
Back
Top Bottom