Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa,

Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale!

Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya Ili kupata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi!

Ifike Mahali uache dharau Kwa Watanzania.

Ngoja niishie hapa!

Karibuni 🙏
 
Ukimchukulia Raisi kama Mkeo au Mumeo, unaweza kuwa sawa. Lakini ukimchukulia kama Sovereign Authority Mayala na point.
Hayo mamlaka ameyatoa wapi?

Kati ya wananchi na Rais, nani ana uamuzi wa mwisho?

Kati ya Rais na wananchi, nani bosi wa mwenzie?
 
Back
Top Bottom