Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa,

Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale!

Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya Ili kupata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi!

Ifike Mahali uache dharau Kwa Watanzania.

Ngoja niishie hapa!

Karibuni 🙏
Uchawa huondoa akili, akiacha uchawa akili zitamrudia
 
Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa,

Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale!

Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya Ili kupata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi!

Ifike Mahali uache dharau Kwa Watanzania.

Ngoja niishie hapa!

Karibuni 🙏
Pascal Mayalla njoo huku...
 
Karibuni [emoji120]

Amen
 
Yaani Watanzania Walio boss wa watawala, tukawapigie magoti Ili kupewa Tume huru ya Uchaguzi ya hisani?
 
Back
Top Bottom