Yaani HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa Kwa HAKI,Paskali hajawahi kuwaza,mnakumbuka Magu alimpa maana ya Mayala kisukuma? Ni njaaa
Huyo ndio Pisikali bwanaDuh aiseee
we jamaa bhanaHuyo alikuwa na akili sana kabla ya ajali. Baada ya ajali nadhali akili ilibaki kwenye lami na siyo kutoa lawama kwa shule ya Iliboru.
Hayo mamlaka ameyatoa wapi?Ukimchukulia Raisi kama Mkeo au Mumeo, unaweza kuwa sawa. Lakini ukimchukulia kama Sovereign Authority Mayala na point.
Mtu mzima kujitoa ufahamu inaudhi sana!Aibu ya milele imuandame yeye na kizazi chake, Amina
Adhibitiwe kabla hajatudhalilisha zaidiPascal kwa sasa yupo stage ya 5 kufikia ya 7 kwenda milembe
Halafu Bado anajiita Mwandishi wa habari ilhali ana kadi ya CCM mfukoni!Pascal kwa sasa yupo stage ya 5 kufikia ya 7 kwenda milembe