Alidisco vipi chuo ilhali tayari ameshamaliza law school, kama sijakosea?Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.
Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.
Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo, nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.
Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.
Ni ushauri tu.
Mayalla ni very professional. Hilo liko wazi sema hata career yake ya uandishi wa habari angepata nchi yenye uhuru kama Kenya mfano angekuwa moja kati ya waandishi na wanahabari Bora.
Tatizo misingi ya serikali yetu haikumpa nafasi kudevelop zaidi ya kuwa chawa na green guard.
Simjui,hanijui but this mzee is so smart. Natamani siku moja nimuone kwenye nafasi kubwa akiongoza nchi.
Kama wachekeshaji,maslay queen na wasiojua lolote wameweza mayalla ndo aje ashindwe
Bibi, umeelewa mada?Wajinga ndiyo waliwao.
Jamaa Yuko vizuri,analitazama jambo kwa sura mbili. Ni hazina kabisa sema tu kutokana na teuzi za serikali sijui huwa wanaangalia Nini.Jokes aside!
Mkuu Pascal Mayalla anajua. Zaidi mwamba haoni tabu kuhabarisha na kuelimisha wengine bila kikwazo.
Salute!
Sijui kama ni Unabii Bali ni mtu wa system wanakuwaga wanajua maana wanapanga wao.Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.
Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.
Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo, nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.
Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.
Ni ushauri tu.
Kuwa mkweli mkuu,unamzidi Nini mayalla labda....kuanzia influence kwenye jamii,akili za darasani,familia na helaMpaka Pasikali Manjaa ana chawa.
[emoji3591]Isitoshe yule ni CIA ya Bongo so likely pia kuna vihabari habari vingine anakuwa navyo ndiyo maana anaweza kuvigusia gusia kwenye baadhi ya nyuzi zake.Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.
Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.
Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo, nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.
Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.
Ni ushauri tu.
hivi kwanini kila mtu hapa bongo huwa anahusishwa na ushushushu. hamna kitu kingine cha kumfananishia mtu mpaka huo ushushushu. na huwa mnawajuaje hao mashushushu...? kama sio wenzenu...?Hata wewe ukianza kuandika utitiri wa threads hapa JF na kuwa unajikwoti na kujirejelea katika kila posti huku ukifuata upepo unavyokwenda kuna mambo utakuwa unabahatisha tu maana ubashiri wa kawaida mara nyingi ni 50 - 50.
Hakuna cha nabii hapo wala nini.
- P
[emoji3591]Isitoshe yule ni CIA ya Bongo so likely pia kuna vihabari habari vingine anakuwa navyo ndiyo maana anaweza kuvigusia gusia kwenye baadhi ya nyuzi zake.
umemjuaje...?Ni mtu wa mfumo wa mda mrefu sana
We hua unatumia mbinu zipi kujua mambo?umemjuaje...?
mchungaji kiongoziNilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.