Pasha ana gundu gani?

Pasha ana gundu gani?

Halaf mchizi anajua kweli kuimba lakin ndio kwanza nyota ya mavi kupendwa na nzi
 
Muziki na zaidi ya kujua kuimba na kuwa na sauti nzuri

Alikorofishana na watu wake wanaojua kucheza media
 
Viol nimewahi kujiuliza hili swali nakosa jibu.Jamaa anaimba sana tu tatizo ni nini? Hata hivyo nimefumbuka macho sasa baada ya wadau hapa kusema kua alikorofishana na watu wa media.
Anyways, baadhi ya nyimbo zangu bora kutoka kwa pasha ni
Ninayemuimbia,Ni soo na Thamani yako.Nazipenda sana.
 
Last edited by a moderator:

kweli jamaa kafanya video nyingi sana na nzuri tu,ila utadhani kama hajatoka tu.
huyo wimbo ni soo ni soo kweli
 
altoa mwaka jana wimbo wa "papara" lakn haukuvuma khvyo..
 
Nadhani msimu wa karosho huu,pengine yupo nyumbani newala uko...anafunga funga magunia ya korosho na kutengeneza pombe ya ulaka n gongo ya mabibo!ata ukulima nao ni ujasiriamali sio mziki pekee n kila kitu na mcmu wke,sas ni mcmu wa korosho sio mziki kwa upande wke.
 
Ndipo wasanii wetu wengi wanachokosea wanadhani ukishakuwa na kipaji basi umemaliza kumbe kuna juhudi za binafsi zinahitajika, matokeo yake wameshindwa wao wanaanza kusema mimi team makoozi, aaahh huyu hawezi promo tu ndo zinambeba kwani we promo huwezi???????
 
Back
Top Bottom