Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Duh Bestnaso na Pasha walifanya colabo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapenzi unayonipa sijitambui ni soo
kweli jamaa kafanya video nyingi sana na nzuri tu,ila utadhani kama hajatoka tu.Viol nimewahi kujiuliza hili swali nakosa jibu.Jamaa anaimba sana tu tatizo ni nini? Hata hivyo nimefumbuka macho sasa baada ya wadau hapa kusema kua alikorofishana na watu wa media.
Anyways, baadhi ya nyimbo zangu bora kutoka kwa pasha ni
Ninayemuimbia,Ni soo na Thamani yako.Nazipenda sana.
Halaf mchizi anajua kweli kuimba lakin ndio kwanza nyota ya mavi kupendwa na nzi
aliimbaga wimbo gani hivi
Penzi unalonipa baby ni soooo nomaaax2 ....sasa hivi yupo chikongora ukoo mtwara