Pasi bora ya Afrika - Shomari Kapombe

Pasi bora ya Afrika - Shomari Kapombe

Huja

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
1,167
Reaction score
1,848
Nianze kwa kusema SAKHOOOOOO

Best goal of the year...

Lakini kila nikitazama video clip ya goal la sakho, namtazama pia Shomari kapombe, namna alivyofinya ball, akatulia na kumchagua SAKHO.

Mara nyingi tunamsifia aliyemaliza vizuri na kufunga goli na kumsahau aliyetoa pasi.

Haikuwa goli la piga ni kupige bali ni pasi ya kutengeneza. Sasa kwa nini isiwe pasi bora kwa goal bora. Sina hakika kama palikuwa na kipengele cha Nominee wa assist bora katika zawadi zilizotolewa.

Kama SAKHO unanisikia kitu cha kwanza baada ya kutua uwanja wa ndege wa NYERERE, ningempigia simu Shomari kapombe wa Morogoro, walau ningempoza walau % ya mshiko kama lakini ulipewa kama sehemu ya Award yako.
 
Ungekua kapombe nahisi ungempiga roba sakho mgawane mpunga
 
Amini man. Hakuna mafanikio ya mtu pasipokuwa na mtu mwingine nyuma yake
 
Back
Top Bottom