Pasi nzuri Tanzania ni Philips ya kijivu

Picha kwa msaada wa guugo
download (5).jpeg
 
Philips walitoa pasi kali sana durable ya rangi ya kijivu nyepeeesi ila sio mchezo kiutendaji. Haijawahi tokea pasi kali kama hii Tanzania. Uzi tayari.
naunga mkono hoja. nimenunua sana pasi za mbwembwe sijui za mfuke sijui nini mwisho nikarudi kwenye phillips hii maana inadumu.
Ila mkuu phillips now haitengenezi hayo yote vitu vya phillips unavyoviona now ni under lisence. phillips ilikuwa kuna wakati inatengeneza kila kitu kama samsung.
Phillips ilikuwa inajali sana wafanyakazi wake kwa kuwalipa pesa nyingi na mishahara minono. Ilifika kipindi ikawa nyuma ya muda ikaanza kula hasara.
Now phillips kama phillips imebaki tu kuunda vifaa vya hospitalini. Kwa sasa inaunda vitu kama MRI, CT SCAN, ULTRA SOUND na software za mahospitali.
 
naunga mkono hoja. nimenunua sana pasi za mbwembwe sijui za mfuke sijui nini mwisho nikarudi kwenye phillips hii maana inadumu.
Ila mkuu phillips now haitengenezi hayo yote vitu vya phillips unavyoviona now ni under lisence. phillips ilikuwa kuna wakati inatengeneza kila kitu kama samsung.
Phillips ilikuwa inajali sana wafanyakazi wake kwa kuwalipa pesa nyingi na mishahara minono. Ilifika kipindi ikawa nyuma ya muda ikaanza kula hasara.
Now phillips kama phillips imebaki tu kuunda vifaa vya hospitalini. Kwa sasa inaunda vitu kama MRT, CT SCAN, ULTRA SOUND na software za mahospitali.
Asante mkuu kwa ufafanuzi.
 
Kwenye pasi wana formula yao ya kipekee na sio formula ya kichina
 
Back
Top Bottom