Ndio wakishua kwani vipi hamna Philips siku hizi acha kujidanganya Philips insuzw 25 mpaka 30?Unajifanya wa kishua sana, hizo Philips tumezitumia wengi na zinadumu sana tu. Sio hizi za siku hizi za kichina. Wakileta thread za magari bei mbaya mnakausha zimewazidi kimo. Za pasi mnakuja speed, umekomaa mara pasi kuanzia elfu 80 ndo pasi ili mradi tu kujifanya matawi. Haya pasi gani husemi.., Philips ya kijivu ya kipindi cha nyuma ilikuwa imara sana, na watanzania wengi wameitumia. Hizo nyingine za sijui pasi elfu 30 sio imara ni mbwembwe zako tu za kitoto. Sasa pasi nayo ya kujidai matawi!????..
Hii hapa inaitwa soarin