Pasi nzuri Tanzania ni Philips ya kijivu

Pasi nzuri Tanzania ni Philips ya kijivu

Philips walitoa pasi kali sana durable ya rangi ya kijivu nyepeeesi ila sio mchezo kiutendaji. Haijawahi tokea pasi kali kama hii Tanzania. Uzi tayari.
Wewe sema hujui pasi kama unanunua pasi chini ya elfu 80 hizo sio pasi kwa level za kibongo.

Kuna pasi tulichukua mwaka 2012 mpaka Leo inapiga kazi kama mpya Huwa tunabadili wire tu ukipinda. Pasi inadondoka mara kibao na ni nzima wewe hizo filipusi ikifodoka yanakufa tena sikuhizi yameja mafamba ya mchina madukani.
 
naunga mkono hoja. nimenunua sana pasi za mbwembwe sijui za mfuke sijui nini mwisho nikarudi kwenye phillips hii maana inadumu.
Ila mkuu phillips now haitengenezi hayo yote vitu vya phillips unavyoviona now ni under lisence. phillips ilikuwa kuna wakati inatengeneza kila kitu kama samsung.
Phillips ilikuwa inajali sana wafanyakazi wake kwa kuwalipa pesa nyingi na mishahara minono. Ilifika kipindi ikawa nyuma ya muda ikaanza kula hasara.
Now phillips kama phillips imebaki tu kuunda vifaa vya hospitalini. Kwa sasa inaunda vitu kama MRT, CT SCAN, ULTRA SOUND na software za mahospitali.
Na hii filipusi inayoonekana tz sio filipusi wewe unanunua filipusi kati ya 25 to 30k unaita philips? Kama umenunua kwa hiyo muda si mlefu unalia nimenunua philips zaidi ya 10 zinakufa vibaya Kuna brand za pass hamzijui pasi inadondoka kwenye tiles , ukichukua inaendelea kupiga kazi hizo zikidondoka usifanye kosa kugusa kwenye chuma ni sawa na kulamba umeme
 
Unajifanya wa kishua sana, hizo Philips tumezitumia wengi na zinadumu sana tu. Sio hizi za siku hizi za kichina. Wakileta thread za magari bei mbaya mnakausha zimewazidi kimo. Za pasi mnakuja speed, umekomaa mara pasi kuanzia elfu 80 ndo pasi ili mradi tu kujifanya matawi. Haya pasi gani husemi.., Philips ya kijivu ya kipindi cha nyuma ilikuwa imara sana, na watanzania wengi wameitumia. Hizo nyingine za sijui pasi elfu 30 sio imara ni mbwembwe zako tu za kitoto. Sasa pasi nayo ya kujidai matawi!????..
 
Na hii filipusi inayoonekana tz sio filipusi wewe unanunua filipusi kati ya 25 to 30k unaita philips? Kama umenunua kwa hiyo muda si mlefu unalia nimenunua philips zaidi ya 10 zinakufa vibaya Kuna brand za pass hamzijui pasi inadondoka kwenye tiles , ukichukua inaendelea kupiga kazi hizo zikidondoka usifanye kosa kugusa kwenye chuma ni sawa na kulamba umeme
phillips kwa sasa hawatengenezi consumer gadgets ni under lisence.
 
Back
Top Bottom