Pasi nzuri Tanzania ni Philips ya kijivu

Philips walitoa pasi kali sana durable ya rangi ya kijivu nyepeeesi ila sio mchezo kiutendaji. Haijawahi tokea pasi kali kama hii Tanzania. Uzi tayari.
Wewe sema hujui pasi kama unanunua pasi chini ya elfu 80 hizo sio pasi kwa level za kibongo.


Kuna pasi tulichukua mwaka 2012 mpaka Leo inapiga kazi kama mpya Huwa tunabadili wire tu ukipinda. Pasi inadondoka mara kibao na ni nzima wewe hizo filipusi ikifodoka yanakufa tena sikuhizi yameja mafamba ya mchina madukani.
 
Na hii filipusi inayoonekana tz sio filipusi wewe unanunua filipusi kati ya 25 to 30k unaita philips? Kama umenunua kwa hiyo muda si mlefu unalia nimenunua philips zaidi ya 10 zinakufa vibaya Kuna brand za pass hamzijui pasi inadondoka kwenye tiles , ukichukua inaendelea kupiga kazi hizo zikidondoka usifanye kosa kugusa kwenye chuma ni sawa na kulamba umeme
 
Unajifanya wa kishua sana, hizo Philips tumezitumia wengi na zinadumu sana tu. Sio hizi za siku hizi za kichina. Wakileta thread za magari bei mbaya mnakausha zimewazidi kimo. Za pasi mnakuja speed, umekomaa mara pasi kuanzia elfu 80 ndo pasi ili mradi tu kujifanya matawi. Haya pasi gani husemi.., Philips ya kijivu ya kipindi cha nyuma ilikuwa imara sana, na watanzania wengi wameitumia. Hizo nyingine za sijui pasi elfu 30 sio imara ni mbwembwe zako tu za kitoto. Sasa pasi nayo ya kujidai matawi!????..
 
phillips kwa sasa hawatengenezi consumer gadgets ni under lisence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…