Pasi nzuri Tanzania ni Philips ya kijivu

Ndio wakishua kwani vipi hamna Philips siku hizi acha kujidanganya Philips insuzw 25 mpaka 30?


Hii hapa inaitwa soarin

 
Nilikua Saloon ninasukwa nywele, mashost walikua wanahadithiana maisha ya mwenzao. Anahifadhi nguo kwenye jaba la maji.

Sifahamu ni wangapi wanaohifadhi nguo katika Jaba la maji ila ninajua huhitaji kupiga pasi.
 
Pasi la mkaaa bhanaaaa
20 yrs now Bado liko powaaa na wajukuu wanatumiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…