issa zuber
Member
- Mar 5, 2014
- 14
- 9
Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!
Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!
Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!
kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!