Pasina shaka michezo ya kubashiri, matokeo huwa yanapangwa Mhindi mwenyewe

issa zuber

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
14
Reaction score
9
Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!

Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!

Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!

kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!
Screenshot_20171021-064806.png
Screenshot_20171021-000714.png
 
Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!

Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!

Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!

kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!
View attachment 613629 View attachment 613630
Acha kuwa muongo mkuu matokeo ya hizo tumu yako bayana kabisa na kama kuna kitu umeona hakipo sawa wapigie simu na huwa wanarespond vizuri tu hao MBET maana kuna wakati huwa wanachelewa ku update taarifa lakin huwa haizid saa moja huwa wanaweka matoke yote hakuna longo longo kama hujaridhika mbona matokeo ya hizo timu yapo sehemu nyingi nenda katizame kama umeonewa wapigie simu hawananubabaishaji kama ume win mkuu.
 
Aah m bet msanii tu anatufanya maisha kuwa tyt zaidi
Hana usanii wowote acheni uongo kama mnashindwa kubashiri mtaliwa sana , mechi hizo hazichezewi kwenye ofisi za MBET au mbinguni na matokeo wala huwa hayajifichi ukikosa matokeo mbet angalia kwenye mtandao mingine utapata yapo wazi tu.
 
Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!

Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!

Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!

kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!
View attachment 613629 View attachment 613630
Hiyo Austria na mwenzie wewe uliweka draw matokeo yalikuwaje?
 
Angalia hapa mwezi uliopita nilikula 719,000 na silver juu kwa mtaji wa 2000 nikitumia kokolo yaani timu nyingi
de79c58129253a5ebfc4cf4889a1d893.jpg
35882a9d9e3dc896f4adfce585278e53.jpg
nimetumia screen short zikiwa mbili kwa sababu ya kutotosha ukubwa wa mkeka

Kwa hiyo kauli ya kusema wanapanga wao itoe kichwani mwako
 
Sawa mkuu inabidi uniambie ni strategy gani unatumia kubashiri
 
Back
Top Bottom