issa zuber
Member
- Mar 5, 2014
- 14
- 9
Boss dk45 ulitaka nijaze vipi ili nishinde?Wanapangaje matokeo yaani.wewe umejaza matimu namna hiyo hujui kwamba unazidi kupishana na mpunga!!!!
Aah m bet msanii tu anatufanya maisha kuwa tyt zaidiIngia bet360.com ni ya ukweli. Mzungu si muongo, hajakariri kasoma Na kuelewa.
Inategemea ndoto zako,ni kusaka utajiri au faida.Boss dk45 ulitaka nijaze vipi ili nishinde?
Acha kuwa muongo mkuu matokeo ya hizo tumu yako bayana kabisa na kama kuna kitu umeona hakipo sawa wapigie simu na huwa wanarespond vizuri tu hao MBET maana kuna wakati huwa wanachelewa ku update taarifa lakin huwa haizid saa moja huwa wanaweka matoke yote hakuna longo longo kama hujaridhika mbona matokeo ya hizo timu yapo sehemu nyingi nenda katizame kama umeonewa wapigie simu hawananubabaishaji kama ume win mkuu.Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!
Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!
Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!
kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!
View attachment 613629 View attachment 613630
Hana usanii wowote acheni uongo kama mnashindwa kubashiri mtaliwa sana , mechi hizo hazichezewi kwenye ofisi za MBET au mbinguni na matokeo wala huwa hayajifichi ukikosa matokeo mbet angalia kwenye mtandao mingine utapata yapo wazi tu.Aah m bet msanii tu anatufanya maisha kuwa tyt zaidi
Hiyo Austria na mwenzie wewe uliweka draw matokeo yalikuwaje?Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu!
Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5 yoote sijaambulia chochote!
Nimejaribu kuchunguza matokea wanayotoa upande wa app yao na browser vinatofautiana! Pasina shaka naweza sema matokeo huwa wanapanga wenyewe hivyo bila wao kukuonea huruma ushinde huwezi shinda!
kwakweli naisikitikia elfu 9 yangu kupoteza, bora hata ningeinunulia sembe ingetusogeza mbele na hali hii!
View attachment 613629 View attachment 613630
Hii ndio mbinu sahihi kabisa.Unajaz matimu kumi unategemea kushinda....cheza mbili weka pesa kubwa unashinda ach ujinga
Boss kila ukicheza wanachukua kama juzi nilibeti kwa team 3, buku5 yangu wakabebaMikeka inachanika unamlalamikia mhindi hahaha
Sawa mkuu inabidi uniambie ni strategy gani unatumia kubashiriAngalia hapa mwezi uliopita nilikula 719,000 na silver juu kwa mtaji wa 2000 nikitumia kokolo yaani timu nyinginimetumia screen short zikiwa mbili kwa sababu ya kutotosha ukubwa wa mkeka
Kwa hiyo kauli ya kusema wanapanga wao itoe kichwani mwako