figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kuna watu huwa wanasema Siasa hainipi kula, hainiwekei hela mfukoni. Kauliya kishamba na kijinga. Eti mimi sina chama.. Mapoyoyo nyie.
Watu wanadai katiba Mpya, Wametangaza kuandamana ili kushinikiza wapewe Katiba mpya, Maduka yamefungwa, Usafiri, Polisi Wamebebelea mabunduki Nchini Shughuli zimesimama.
Pasipo Demokrasia, hakuna uwekezaji, wala maendeleo. Maandamano ya leo ya Polisi na JWTZ ni kielelezo tosha.
Wananchi Wakinyimwa kuandamana, Dola ndo inaandamana. Muhimu maandamano ni lazima, hakuna wa kuzuia.
Hivyo sitegemei mtu aseme tena Siasa haimhusu. Kwamba vyama vya siasa ndo vinatakiwa kudai haki.
Kila Mtanzania jitahidi uwe upande wa haki kwa maendeleo ya Nchi yetu.
Hela za Uchawa zinaisha
Poa soma: Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta