maandamano sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Pasipo Demokrasia, hakuna Uwekezaji wala Uchumi. Kielelezo 7/7/2026

    Kuna watu huwa wanasema Siasa hainipi kula, hainiwekei hela mfukoni. Kauliya kishamba na kijinga. Eti mimi sina chama.. Mapoyoyo nyie. Watu wanadai katiba Mpya, Wametangaza kuandamana ili kushinikiza wapewe Katiba mpya, Maduka yamefungwa, Usafiri, Polisi Wamebebelea mabunduki Nchini Shughuli...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mmoja anasema alikuwa analipwa milioni 3 kila mwezi na kaahidiwa Milioni 100 kama atapeleka vijana wakafe

    Akizungumza na wakazi wa Serengeti, Waziri Mkuu, Dr Mwigulu Nchemba ametoa onyo kali juu ya maandamano, ambapo ameeleza kuwa wamewakamata watu waliokuwa wakifanya kazi ya kuhamasisha watu kwenda kufa, huku ujira wa kazi hiyo akitaja kuwa ni milioni 5 Soma Pia: Mwigulu: Msiseme mimi ni zaidi ya...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wafanyabiashara Machinga Complex Dodoma: Kusudio la Waziri wa Mambo ya Ndani tumelielewa. Maandamano hatuyataki!

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Machinga Complex jijini Dodoma, Marico Magale, amesema wamachinga wa soko hilo wamepokea na kuunga mkono uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, wakieleza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda amani na usalama wa nchi. Magale...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Manzese Mohamed Mgomvi: Polisi Mkisikia nyumba ya mtu imechomwa moto msilaumu. Nishakata mpaka watu miguu. Wapinzani wananijua

    Wakuu, Mkazi wa Manzese, wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam, Mohamed Mgomvi, ametuma ujumbe kwa Jeshi la Polisi akiwataka "wasilaumu" endapo watasikia nyumba ya mtu imechomwa moto Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita "Mbwa Mwitu". Ukiandamana Sabasaba wanapita na...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mchimbaji Bunda: Maandamano ya Tarehe 7 yanatakiwa yawe yetu sisi. Kama kweli tunajipenda hayo maandamano yaanzie Mkuyuni

    Wakuu, Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi Soma Pia: Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba Huyu Mchimbaji hapa anasema inakuwaje...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Unachochea watoto za watu waende kwenye maandamano. Kwa nini mnawadanganya watoto za watu?

    Wakuu, Huyu Clemence Mwandambo walivyomkamata polisi walimfanya nini? Hii hapa ni video akizungumzia kuhusu maandamano yanayopangwa kufnaywa Siku ya Tarehe 7 mwezi wa 7: "Unawachochea watoto za watu waende kwenye maandamano. Watoto wa maskini, watoto ambao wanahitaji kujikomboa kimaisha...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hawa polisi huwa wanakuwa wapi, tunapokuwa hatuna tishio la maandamano? Tanzania isipuuze, Kenya yalitokea makubwa

    Tanzania inapolisi wengiiieeeee? Kuliko raia? Wanakuaga wapi kabla ya vitisho vya maandamano?! CCM na Serikali msipuuze, tafuteni suluhu la kudumu na NJIA ni nyepesi kuweni wakweli, Mfano ahadi ya Rais mchakato wa katiba mpya utaanza baada ya siku 100 akiwa ikulu Leo ni siku ya ngapi? Wakuu...
Back
Top Bottom