figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mboni mimi sijawaona au wamejificha kwenye vichaka km una picha weka hapaMauaji yameandamana yakiwa na mitutu ya bunduki kwa niaba yetu
Ndio hivyo. Kama hawataki sisi tuandamane, kazi yetu inakuwa moja tu: kuwalazimisha wao waandamane!Leo ndo nimeamini akili ndogo haiwezi kushinda akili kubwa. Maandamano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mauaji yameandamana yakiwa na mitutu ya bunduki kwa niaba yetu na kusimamisha uchumi.
Kikubwa maandamano yawepo.Maandamano ya leo ya Polisi na JWTZ ni kielelezo tosha.
Wananchi Wakinyimwa kuandamana, Dola ndo inaandamana. Muhimu maandamano ni lazima, hakuna wa kuzuia.
😂😂😂Wananchi Wakinyimwa kuandamana, Dola ndo inaandamana
Na wewe tutajie nchi iliyoendelea kwa kutawaliwa na majizi, mafisadi papa ya mali za umma, wafiraji na wauaji wa wananchi. Hakuna.Nitajie nchi ambayo imeendelea kupitia demokrasia ya kukusanyana kwenye viwanja na kuambiana maneno ya kujifariji kwa kucopy maneno ya wazungu.
Kwanini nikutajie. Mumezuia Demokrasia, je, leo mumepata hata posho ya Uchawa? Sasa ni maandamano ikishindikana na mtutu wa bunduki. CCM wamekataa mazungumzo, wamekataa mashinikizo.. Si muda watu wataingia mstuni. Ndo kanuni zilivyo. Mfano ni wakoloni wenye tamaa walikataa kuachia Nchi kwa amani, waliachia kwa mtutu. Ndo CCM wanasubiriNitajie nchi ambayo imeendelea kupitia demokrasia
Na wewe tutajie nchi iliyoendelea kwa kutawaliwa na majizi, mafisadi papa ya mali za umma, wafiraji na wauaji wa wananchi. Hakuna.
China kwa mfano imeendelea kwa sababu ya kuchukua hatua kali sana dhidi ya wezi, mafisadi, wala rushwa na wahalifu wengine. Ila kwa nchi nyingi za Afrika wahalifu ndiyo watawala..
=============================
China official who received $325m worth of bribes sentenced to death China official who received $325m worth of bribes sentenced to death
Demokrasia yenu ya kimaskini na kijinga haitaki hukumu ya kifo kwa sababu inaenda kinyume na haki za binadamu.Na wewe tutajie nchi iliyoendelea kwa kutawaliwa na majizi, mafisadi papa ya mali za umma, wafiraji na wauaji wa wananchi. Hakuna.
China kwa mfano imeendelea kwa sababu ya kuchukua hatua kali sana dhidi ya wezi, mafisadi, wala rushwa na wahalifu wengine. Ila kwa nchi nyingi za Afrika wahalifu ndiyo watawala..
=============================
China official who received $325m worth of bribes sentenced to death China official who received $325m worth of bribes sentenced to death
Hata nisiyemtaka akiwa madarakani hakuna shida. Kikubwa apatekane kwa njia halali. Sio kwa kuua, kufunga na kupoteza watu kama Muuaji wenu Samia na genge lakeunafikiri demokrasia ni hadi yule unayemtaka wewe anapopata madaraka.
Uzuri mpo vizuri katika kuhamisha magoli kwa sababu hamjui mnachokitaka. Mnaona uozo wa serikali ila upuuzi na wizi kwenye vyama vyenu hamuoni. Afrika siasa ni ajira kama nyingine, acheni kusumbua watu. Shindaneni kwa hoja mkishindwana msitafute watu wa kupigana kwa niaba yenu ni upuuzi na kukosa ustaarabuHata nisiyemtaka akiwa madarakani hakuna shida. Kikubwa apatekane kwa njia halali. Sio kwa kuua, kufunga na kupoteza watu kama Muuaji wenu Samia na genge lake