Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Kwani bure? Si serekali inapata kipato? Acha ukenge wewe!Je utayari wa Watanzania kupata pasipoti ukoje? sawa ni haki ya kila mtanzania lakini unapaswa kupewa hati ya kusafiria pale ambapo una "proof" ya safari sio document ya kupewa uweke kabatini
Then kama huelewi "miaka miwili ya Rais Samia" sina la kuongeza maana inajitosheleza
Yule bichwa komwe mbona hakutoa hata 50,000?Mreta mada mnazidi kumchafu huyo bibi yenu kwa kumpamba pamba na taharifa zisizo chakachuliwa kwanza,Unakuja kumpongeza kisa passport laki .1.9 wakati tupo watanzania tupo mln 61+?.
Kama kila miaka 2 anaweza kufanya kazi kidogo hivyo si ataondoka madarakani ata kujenga shule yenye vyumba 7 hajamaliza?
Sasa utagawa passport kwa watu wasiotaka safiri?Kwa takwimu za huyo afisa uhamiaji maana yake kwa mwaka walitoa passport 96,900.kwa wastani
Watanzania tuko milioni 60
Wao kutoa passport kwa Watanzania milioni 10 kwa spidi hiyo itawachukua miaka 103 kwa wao kufikia lengo la kutoa passport milioni kumi
Kuhakikisha Watanzania hata milioni.tano wanapata passport itawachukua miaka 50 kufikia hilo lengo kwa spidi hiyo
Very sad
Hakuna watu wenye urasimu kama uhamiaji,..mpaka wananikera.Ni SAWA ndio lakini je waTanzania walioko kuendana na takwimu za sensa ya mwaka Jana ni kubwa kulingana na hii namba. Passport ni haki ya Mtanzania! Wangeleta namba ya Millioni 10 + ingeeleweka. Hapo Kuna urasimu mkubwa sana.
Na unaposema ndani ya miaka miwili ya Rais una maana gani??
Aliyekwambia kazi ya passport ni ya kusafiria tu nani?Sasa utagawa passport kwa watu wasiotaka safiri?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kenya wana target za kutoa passport lengo ni kutoa passport milioni 10 ndani ya miaka mitano kwa raia wakeSasa utagawa passport kwa watu wasiotaka safiri?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tena makaratasi ambayo yanachanika na kulowanaKwa nini wanaitwa za kielectronic wakati ni kitabu hard kama zamani? Au wanadhani kitendo Cha KUHIFADHI data kwenye mtandao basi kinaifanya kuwa ya ki electronic? Nadhani wangeita pasport ya TANZANIA tu tabtosha
Jamaniiii waTanzania wenzangu Mbona tumesinzia? Hiyo ni idadi ndogo Mnoo, kulinganisha na idadi yetu. Wapeni passport vijana wakapambane na dunia huko mbele.Idara ya Uhamiaji Tanzania imetoa pasipoti za kieletroniki 193,645 bkatika miaka miwili ya uongozi wa
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza jijini Dares Salaam, Ofisa Habari wa Idara hiyo, Mrakibu Paul Mselle alisema pasipoti hizo zimetolewa kwa Watanzania waliotaka kusafiri.
"Pasipoti za kielektroniki 193,645 zimeleta mageuzi makubwa, raia wa Tanzania waliohitaji kusafiri nje ya nchi walipata huduma kwa madhumuni mbalimbali,"alisema.
Mselle alisema katika pasipoti za kawaida idara hiyo ilitoa hati hizo za kusafiria 191,822 na kiutumishi 233.
Mselle alisema pasipoti za kidiplomasia zilitolewa 1,582 katika kipindi hicho na pasipoti maalumu ilitoa nane.
Alisema kazi hiyo imefanyika kwa mujibu wa Sheria ya Pasipoti na Hati za Kusafiria Sura ya 42 ya Mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2018.
Pia Mselle alisema wamefanya maboresho ya sheria, kitaasisi, kimuundo na mifumo ya utendaji kazi. Aidha, aliwaomba Watanzania walioomba pasipoti kwenda ofisi za idara hiyo kuzichukua.
Wewe ni shoga utakuwa umekimbia kutoka Uganda,Siwezi jengeana hoja na mashoga.
Na kweli wanamanisha. Hakuna fursa utakayokimbizana nayo huku duniani usimkute Mkenya! Never!Kenya wana target za kutoa passport lengo ni kutoa passport milioni 10 ndani ya miaka mitano kwa raia wake
Uhamiaji yetu sijui hata kama wa target yeyote wapo wapo tu
Kenyan passport
“All eligible applicants for the Kenyan passport are advised that passport booklets are now available in sufficient numbers and processing of passports has been expedited to conform to international standards,” said Prof Kindiki.
“The ministry has set a target of tripling the number of Kenyan passport holders from the current 3.5 million to 10 million in the next five years,” he added.
Ndio, ameshakaa sana, amevumilia sana, mm siwezi kumlaumu coz ameshakataa posa nyingi akinisubiria, pia kakata tamaa kwa sababu walikua taari wanamsumbua sana
Katika kitengo kilichooza basi ni hiki, uhamiaji, mazee kuna wanaume malaya hii idara, sijui wana shida gani mbwa hawa
Pasport za sasa zina chip ndo mana zinaitwa hivo, hiyo page ya kwanza yenye lamination ina chip kama line za simu.Kwa nini wanaitwa za kielectronic wakati ni kitabu hard kama zamani? Au wanadhani kitendo Cha KUHIFADHI data kwenye mtandao basi kinaifanya kuwa ya ki electronic? Nadhani wangeita pasport ya TANZANIA tu tabtosha
Proof ya safari ya kazi gani kamą mtu anataka pasi ya kusafiria anavigezo vyote mpatie kamą safari akipata ghafla aanze mlolongo wa kufatilia uhamiaji? Aweke ndani hilo ni juu yakeJe utayari wa Watanzania kupata pasipoti ukoje? sawa ni haki ya kila mtanzania lakini unapaswa kupewa hati ya kusafiria pale ambapo una "proof" ya safari sio document ya kupewa uweke kabatini
Then kama huelewi "miaka miwili ya Rais Samia" sina la kuongeza maana inajitosheleza
Acha ushamba wewe, passport maana yake ni ya kupita mpakani.Aliyekwambia kazi ya passport ni ya kusafiria tu nani?
Passport ni kama kitambulisho cha NIDA tu yenyewe kwa sasa ni kitambulisho cha kimataifa kinatumika kuomba kazi ,scholarship na tenda mitandaoni za nje ya nchi
Hata ukitaka kusoma kozi za kimataifa online mfano hata kingereza cha kimataifa pale British Council Dar es salaam.mfano huwezi kusajiliwa bila passport
Matokeo yake wamejaa wahindi tu ndio hufanya hiyo mitihani na kupata scholarship za nje kibao ndio maana huwaoni wakisoma vyuo vya Tanzania
Sisi ofisa passport, kijana akienda kuomba linawaza tu kuwa anahitaji kwa ajili ya kusafiria tu
Tatizo uhamiaji bado wako wazee wengi wasioenda na kasi ya mabadiliko ya Dunia utasikia toka wakati wa Nyerere sisi tupo hapa passport ni kwa ajili ya kusafiria onyesha uthibitisho wa safari tukupe!!!
Pole sana kikongwe wewe usiyejua dunia ilipoAcha ushamba wewe, passport maana yake ni ya kupita mpakani.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app