Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

Mama Samia si alisema hataki mambo ya katiba mpya wala siasa bali anataka mambo ya uchumi. Vipi hawa Star Tv wameamua kumpuuza rais?
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuu.

E5MtGq9X0AQ9nRX.jpeg
 
Nimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...

Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.

Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
 
Paskali anasema cdm watekeleze kwanza katiba yao, kisha wadai ya nchi. Anasema watu hawakudai katiba wakati wa Magufuli, hivyo wakidai sasa ni kumuonea mama Samia.
Kwa maelezo hayo ya Pasco, unaweza kuhoji akili fupi fupi ya Pasco zina msaada gani?

Ni mtu wa ovyo sana.
Ni mpenda sifa na mtu wa kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom