Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo unavyojidanga sijui kwa nini mnajitoa ufaham hivyo uhuru utakuwa unatoka wapi tofauti na sasaWakati huo mahakama zitakuwa huru.
kumsikiliza mwanaccm aliyepata kura 0 kwenye kura za maoni inataka moyo sanaWadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
Ongeza sautiiiiiiTatizo wanaojadili wote ni mataga na wote ndio wanaounda serikali
Kwa hio hamna jipya hapo kwa hao chawa!
Nilitaka kulala bila kuchekakumsikiliza mwanaccm aliyepata kura 0 kwenye kura za maoni inataka moyo sana
Huyo dogo wa TLP aliwahi kuwa rais wa serikali ya wanafunzi ST. JOSEPH ya DSM. Dogo huyoo bado sana kuitwa mwanasiasa wa kariba ile ya bavicha ya enzi zile. Dogo hana data nae anafokaaa tuu. Namjua vizuriKuna dogo wa TLP yuko studio, anachoongea hata Shaka wa ccm hawezi kuongea! Tunamsubiri Paskali sasa, Nondo sio mbaya sana.
Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
Huyo dogo wa TLP aliwahi kuwa rais wa serikali ya wanafunzi ST. JOSEPH ya DSM. Dogo huyoo bado sana kuitwa mwanasiasa wa kariba ile ya bavicha ya enzi zile. Dogo hana data nae anafokaaa tuu. Namjua vizuri
Na wewe kwa akili zako uunaamini CCM wataawapa Katiba mpya ili mpate nguvu!?Tunataka katiba mpya ili tumpunguze nguvu ccm,unataka kusema hilo haliwezekani hata tukipata katiba mpya?
Kenya kabla ya katiba mpya mahakama zao zilikua kama za kwetu; leo jaji mkuu na mahakama zao zimepewa uhuru. Achana na upumbavu ndugu, iwapo upo kwenye wajinga wasiyoona umuhimu wa katiba mpya na bora basi utakua miongoni mwa wale wajinga wanaodhani katiba mpya ni kwa ajili ya CHADEMA.Ndivyo unavyojidanga sijui kwa nini mnajitoa ufaham hivyo uhuru utakuwa unatoka wapi tofauti na sasa
Nguvu ya kutengeneza Katiba ninayoizungumzia hapa Ni kuwa na angalau 35% ya Wabunge ktk BUNGE tulilonalo ili kuzuia 66% majority inayohitajika kupitisha vipengele vya Katiba. Nguvu hii itawafanya muheshimiane na msiburuzane kwenye mijadala na kupiga kura. Na hakuna litakalopitishwa bila maridhiano. Kinyume chake Ni maumivu tupu.Na wewe kwa akili zako uunaamini CCM wataawapa Katiba mpya ili mpate nguvu!?
Tafuteni nguvu ya kutengeneza Katiba NZURI Kwanza sio mfikirie Katiba nzuri iwape nyinyi nguvu Kwanza. Nchi zote walizofanya mabdiliko walipata nguvu au kushinda uchaguzi kwanza.... ndipo wakaunda Katiba nzuri
Kenya walipata nguvu Kwanza ndio wakatengeneza Katiba.
Katiba nzuri haitengenezwi wakati una Mbunge 1 mwenzio ana 260. Labda tuondoe nafasi ya BUNGE ktk kutunga Katiba... kitu ambacho hufanyika kwenye Nchi ambazo hazina Serikali Wala BUNGE la kitaifa, au Kama kumetokea Mapinduzi, Serikali imetolewa madarakani imewekwa ya mpito.
Kwa Sasa BUNGE ndio mwakilishi namba 1 wa mwananchi kikatiba na huwezi kuzuia mamlaka yake ktk kutunga Katiba.
Wakati mwingine huwa nawaza akili za viongozi wetu najiuliza Wanafanya makusudi au kweli hawajui hizi facts. Mwaka ule walikimbia, WAKASUSA BUNGE mwaka huu naona wataenda msituni kabisa... and this is the last resort if at all they must get what they want... vinginevyo wakubali Katiba itatayoletwa na wale wenye Wabunge 260 na Rais anayetawala
Ni upumbavu kudhani mawazo yako ndiyo yako sahihi na siyo ya mwingine. Unatakaje kile unacho fikiri wewe ndiyo azungumze huyo Paschal?Nimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...
Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.
Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
Pasko ameshajizeekea anatafuta PA kuponea, nimeshangaa Sana anaongelea Chadema kuliko mjadala halisi.Muongoza kipindi angemuonya aende kwenye topic.Nimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...
Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.
Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
Hujakosea. Tangu akiwa rais wa serikali ya wanafunzi ST JOSRPH jamaa hajawahi kubalika hata na wanafunzi alikuwa ni PRO GOVERNMENT na muumini wa UVCCM tawi la ST. JOSEPH DSMNahisi huyu dogo ni wa ccm kisha amepandikizwa huko TLP ili kulinda mfumo ccm.