Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Usishangae. Watu hutofautiana.Nimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...
Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.
Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
Wapo ambao kadiri wanavyozeeka, busara huongezeka. Lakini wapo pia ambao kadiri wanavyozeeka, akili inazeeka, busara inatoweka, na uwendawazimu unawasogelea kwa bidii kubwa. Kwa bahati mbaya ndugu yetu Pascal Mayala yupo kwenye kundi hili la pili. Tumwonee huruma, tupuuze manebo yake. Hata Rais Samia pia amempuuza. Mama Samia hataki watu wanafiki.