Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

Usishangae. Watu hutofautiana.

Wapo ambao kadiri wanavyozeeka, busara huongezeka. Lakini wapo pia ambao kadiri wanavyozeeka, akili inazeeka, busara inatoweka, na uwendawazimu unawasogelea kwa bidii kubwa. Kwa bahati mbaya ndugu yetu Pascal Mayala yupo kwenye kundi hili la pili. Tumwonee huruma, tupuuze manebo yake. Hata Rais Samia pia amempuuza. Mama Samia hataki watu wanafiki.
 
Huyu mzee ana msongo wa mawazo dish lake linayumba, kumponya ugonjwa wake wampe kauteuzi kokote
Samia hawezi kumteua mtu ambaye anafahamu kabisa kuwa ni mnafiki. Mayala asahau habari ya kuteuliwa. Awamu ambayo unafiki ulikuwa unalipa sana, ni awamu iliyopita.
 
Ndivyo unavyojidanga sijui kwa nini mnajitoa ufaham hivyo uhuru utakuwa unatoka wapi tofauti na sasa
Uhiri akbao utakuwa umepatikana kutokana na katiba inayotenganisha mihimili. Siyo sasa ambapo Rais anateua Jaji Mkuu na majaji wote.
 
Ndio umejua leo kwamba Paskali anafikiri kwa kutumia tumbo?
 
Pasko ameshajizeekea anatafuta PA kuponea, nimeshangaa Sana anaongelea Chadema kuliko mjadala halisi.Muongoza kipindi angemuonya aende kwenye topic.
Sidhani kama Mayala, siku hizi bado yupo kwenye akili yake ya kawaida. Alivyoitwa Bungeni, sijui walimfanya nini!

Waandaaji wa vipindi, wanatakiwa kuwa na taarifa sahihi za wageni wanaowaalika kwenye studio zao ili kujiridhisha kama waalikwa wana afya njema ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…