Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.
ooooh hongera sana mamii kwa kuniletea kaka yangu
kuanzia leo mabazazi mkae chojo
kuna mwanaume wa shoka ndani ya familia atakaenilia mingo aking'olewa kucha asinilaumu.
cc MentorNicas MteiKaizer
ooooh hongera sana mamii kwa kuniletea kaka yangu
kuanzia leo mabazazi mkae chojo
kuna mwanaume wa shoka ndani ya familia atakaenilia mingo aking'olewa kucha asinilaumu.
cc MentorNicas MteiKaizer