Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,194
Reaction score
13,426
Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.

HONGERA SANA!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana na karibu kwenye ulezi wa mtoto. Mungu akukuzie mwenyewe mkaka huyo pia jiandae kupokea shikamoo nyingi toka kwa wadada lol.
 
Hongera sana Passion Lady. Mungu ni mwema aliyekulinda katika kipindi hiki kigumu na Mungu akutangulie katika malezi pia hongera sana sana.
 
Last edited by a moderator:
ooooh hongera sana mamii kwa kuniletea kaka yangu
kuanzia leo mabazazi mkae chojo
kuna mwanaume wa shoka ndani ya familia atakaenilia mingo aking'olewa kucha asinilaumu.
cc Mentor Nicas Mtei Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Nampa hongera sana shem wangu Passion Lady,., Mungu akupe hekima na busara za kulea hilo dume la mbegu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom