Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.
HONGERA SANA!
HONGERA SANA!
Last edited by a moderator: