Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongera Mama baby boy..Kumbuka kumlea katika maadili mema ya kitanzania, Mungu akutangulie.
 
Hongera dada.emungu nakuomba ukamlee mtoto huyu katika maadili mema ya uchamungu amini
 
karibu....jamaa hakeshi usiku maana mwenzio nakesha jamaa anawiki 3 yaani hoi!

hongera sana!!kumbe sijapishana sana
na wif yangu,akilala mchana ujue usiku ni mkesha
asipolala mchana usiku analala,mi mwenyewe nakesha mbaya!!
 

hongera sana!!kumbe sijapishana sana
na wif yangu,akilala mchana ujue usiku ni mkesha
asipolala mchana usiku analala,mi mwenyewe nakesha mbaya!!
yeah! hatujapishana, kama unavyosema jamaa niwasumbufu mbaya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…