Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me ndo wa kwanza kabisaaaaaaa
hiyo ni mali yangu peke yangu tu
​asante sana mpnz!!Hongera mamii, Mungu akukuzie
​asante mpendwa!!Hongera sana kwa kupata mtoto wa kiume!
Lady doctor anapika shem.
huyu jembe langu lazima asonge IST kwanza...! hahahaaaa!!
​asante sana kabanga!!!ah...hongera Passion Lady mola akukuzie.....
hahahaha
karibu....jamaa hakeshi usiku maana mwenzio nakesha jamaa anawiki 3 yaani hoi!
hahahaha
we bado unapenda tukuite PL...!! haivutii sasahivi bana
yeah! hatujapishana, kama unavyosema jamaa niwasumbufu mbaya....
hongera sana!!kumbe sijapishana sana
na wif yangu,akilala mchana ujue usiku ni mkesha
asipolala mchana usiku analala,mi mwenyewe nakesha mbaya!!