Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongeraa jamani natamani na mie kababy kakiume

hongera passion lady mungu akupe nguvu umlee kwa mapenzi na maadili mema.

bibie njoo nikupe wangu mmoja na wewe unipekabint. hahahaaaa
 
Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.

HONGERA SANA!

Nashauri abadili jina sasa, aitwe passion mama
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana, jamani wana jf mbona hamumpongezi na baba yake. Wengi ni passion lady tu, je baba yake hastahili hongera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…