Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Hongera mingi kichuna Passion Lady
asante wangu,mzima ww lkn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mingi kichuna Passion Lady
hongera sana Passion Lady mwenyezi mungu amlinde mtoto na amjalie afya njema
asante wangu,mzima ww lkn?
Passion Lady, mimi ninachofahamu ni kwamba, mtoto wangu ni mzima wa afya kabisa!!!! rutta hana chake hapo!
asante sana mpenzi!!
Ruttashobolwa na Excel
mje mnisaidie kujibu congrats huku!!
ulete matumizi na wewe mwenyewe ujilete!!Passion Lady, mimi ninachofahamu ni kwamba, mtoto wangu ni mzima wa afya kabisa!!!! rutta hana chake hapo!
matumizi ntaleta tu...
over...!
ulete matumizi na wewe mwenyewe ujilete!!
Niko salama dihaa,nikuzie tu huyo serengeti boy wangu
usijali,nitamkuza kamdhungu kako
ila naskia Heaven on Earth nae kaweka oda!!
hahahaaaaa!!kumbe umemuita mwita??hahahaaaa!! sitaki shida... nije uninyweshe naniii??? aaah wapi!!
changamka namhitaji mwita nyumbani!
hahahaaaaa!!kumbe umemuita mwita??
Lady doctor njoo uone huku jina la mwanetu!!
Hongera sana kwa kupata mtoto!Mungu akulinde wewe;baba ya mtoto na mtoto mwenyewe
hahahaaaaa!!kumbe umemuita mwita??
Lady doctor njoo uone huku jina la mwanetu!!
usijali,nitamkuza kamdhungu kako
ila naskia Heaven on Earth nae kaweka oda!!
usijali,nitamkuza kamdhungu kako
ila naskia Heaven on Earth nae kaweka oda!!
asante sana my kaka