Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
I mean no malice but homie umeonea nonsense. Sijaona namna ulivyothibitisha kuwa passive income haiwezi kukupa utajiri nachoona umesema kuwa huwezi kupata passive income bila kutoa pesa kwenye active income. It is like saying biashara haiwezi kukufanya uwe tajiri then utowe sababu eti huwezi kufanya biashara bila kuwa na mtaji.