karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
Na Mimi nilikuwa na shida kama hiyo.nenda kwenye exhaust ukatoe masega itapona kabisaaaPasso yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Kuna mahali kameainishwa kwamba ni twa kike??Wanaume wa dar acheni kuendesha tugari twa kike
Singida iko DSM?Wanaume wa dar acheni kuendesha tugari twa kike
Nieleweshe vizur mkuu hapa kidogoNa Mimi nilikuwa na shida kama hiyo.nenda kwenye exhaust ukatoe masega itapona kabisaaa
Uhusiano uko wapi tupe elimu mkuuBadili timing belt Tu halafu lete mrejesho
pistoni ngapi.Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Passo ina timing chainBadili timing belt Tu halafu lete mrejesho
Hujasem mpka sasa umebadili nini na niniPasso yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Ndo hivo mkuu haibadili gia yaani hata nikikanyaga moto mpaka mwisho inakua hivo hivoUmecheck gearbox, unachoelezea ni kama vile gari haibadili gear
Tena aanze kwa kucheck oil ya gearbox na chujio ajaribu aone kama kitu kina improvement check kama plug ziko vizuri na zinachoma zote zikikataa ilete hapa gereji kwangu niichokonoe kabisaUmecheck gearbox, unachoelezea ni kama vile gari haibadili gear
Mwache huyo mbumbumbuKuna mahali kameainishwa kwamba ni twa kike??
Wacha mtu amiliki anachoweza na si unachotaka wewe!! Maisha hatulingani mkuu
Check uzima wa pump nyingine ikipata moto kidogo inachemsha na kushindwa kupump mafuta na kufanya gar iwe nzitoPasso yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Hili tatizo hutesa wengi bila kujua, nadhani utakuwa umemsaidiaNa Mimi nilikuwa na shida kama hiyo.nenda kwenye exhaust ukatoe masega itapona kabisaaa