karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?