Passo ina tatizo, nahitaji ushauri

Passo ina tatizo, nahitaji ushauri

karibukwetusingida

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
290
Reaction score
137
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
 
Na Mimi nilikuwa na shida kama hiyo.nenda kwenye exhaust ukatoe masega itapona kabisaaa
 
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
pistoni ngapi.
kama cc900 basi ni piston 3
angalia plug zake zina choma vizuri,gearbox
ushauri piston 3 passo ni uwezo mdogo sana
 
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Hujasem mpka sasa umebadili nini na nini
 
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto mpka mwisho inakua iko mwendo huo huo kama inasukumwa,tatizo linaweza kuwa nini wakubwa?
Check uzima wa pump nyingine ikipata moto kidogo inachemsha na kushindwa kupump mafuta na kufanya gar iwe nzito
 
Back
Top Bottom