Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.
Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
Halafu mafuta ya 20,000 ni average kama litre 9 hivi. Aseme anatokea wapi tuangalie kama yupo sahihi.Umeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?
Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
Umeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?
Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja
* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka
Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.
Rich Mavoko 0746121263
Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.
Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.
OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo
Sasa mkuu, unatakiwa angalau upime ni km ngapi kwenda na kurudi ili ufanye mahesabu ya LTR kwa KM. Huenda ikawa ni ulaji wa kawaida tu.Mimi naishi mwananyamala
πππUmeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?
Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja
* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka
Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.
Rich Mavoko 0746121263
Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.
Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.
OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo
Mkuu hio hatar passo km6/LHabari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.
Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
Yangu ya cc990 haiendi hivyo.... Ina soma average ya 12km/litaHabari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.
Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.
Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja
* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka
Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.
Rich Mavoko 0746121263
Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.
Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.
OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo
Matairi kuchoka, service hafifu na clutch mbovu havihusiki hapa!
Gari ni mpya kanunua show room, kaenda nayo posta na kurudi mara tatu!
Elezea tatizo la GARI MPYA