Passo inakunywa wese sana

Passo inakunywa wese sana

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.

Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
 
Pole sana mkuu, huko show room hawatoagi guarantee au ni second hand? mimi nilinunua ford sedan mpya nikapewa guarantee ya miaka 2 au km 20,000 ila sio TZ
 
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja

* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka

Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.

Rich Mavoko 0746121263

Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.

Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.

OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo
 
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.

Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.

Umeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?

Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
 
Halafu mafuta ya 20,000 ni average kama litre 9 hivi. Aseme anatokea wapi tuangalie kama yupo sahihi.
 
Mimi naishi mwananyamala
Umeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?

Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
 
Nashkuru Sana mkuu...wacha nijipange nimtafute huyo fundi
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja

* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka

Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.

Rich Mavoko 0746121263

Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.

Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.

OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo
 
Umeenda na kurudi posta mara tatu ukitokea wapi?
Ni kilometa ngapi toka hapo ulipo hadi posta?
Je, njia unayotumia ina magari mengi(foleni) au magari yanatembea kwa wastani wa mwendo gani?
Mwisho, unazingatia service kwa wakati? Unatumia vimiminika sahihi?

Yapo maswali mengi, na mengi yanajibiwa na qualified mechanic!
👊👊👊
 
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja

* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka

Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.

Rich Mavoko 0746121263

Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.

Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.

OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo

Kuongezea hapo ikiwa bado tatizo lipo inabidi ufanye compression test, huenda inatumia nguvu nyingi sababu piston ring zimeisha ama kingine
 
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.

Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.
Mkuu hio hatar passo km6/L
 
Yangu ya cc990 haiendi hivyo.... Ina soma average ya 12km/lita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha.

Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L ndio maana nikanunua gari hii.

Mkuu nimesoma tena hii mada, kumbe ni kutoka mwananyamala, ala la la la laaaa, hiyo ni balaa
 
Pole sana. Kuna mambo kadhaa yanachangia gari yenye engine inayotumia petroli kutumia mafuta mengi isivyotakiwa. Ila hii yako inabidi ichekiwe mara moja

* Engine inapokuwa haina matunzo mazuri na service kwa wakati matokeo huwa ni kushuka kwa utendaji kazi mzuri na ulaji wese. Service ni pamoja na kubadilisha spar plugs, air cleaner, fuel filter pamoja na mantainance ya throttle valve pamoja na oxygen sensors.
* Utumiaji Engine oil isiyo na viwango - tumia oil yenye kiwango cha viscosity kilichopangwa kwa gari yako
* Utumiaji AC wakati unaendesha
* Matairi yaliyochoka
* Utumiaji wa gia kimakosa
* Clutch kuchoka

Kama huna fundi makini nakupa namba ya mtu makini na siyo mpiga ramli, ni fundi na ameajiriwa lakini huwa anapata muda weekends na anakuja kwako anafanya kazi ukiwa unaona.

Rich Mavoko 0746121263

Kama ikiwa high consumption inasababishwa na umeme wa gari atakusaidia pia.

Binafsi natumia gari yenye cc2500 na consumption ni kama Toyota wanavyosema inatakiwa iwe ambayo ni KM 8.51 hadi 11.2 kwa lita. Kwahiyo nikipata sita kwa lita ntapaki kwa marekebisho.

OOh pia uendeshaji wako unaweza kuchangia utumiaji mafuta mengi ama kidogo

Matairi kuchoka, service hafifu na clutch mbovu havihusiki hapa!

Gari ni mpya kanunua show room, kaenda nayo posta na kurudi mara tatu!

Elezea tatizo la GARI MPYA
 
Mpya unamaanisha ameitoa showroom 0KM? si ina guarantee, ni kuirudisha tu. Ana mawasiliano ya Toyota awasiliane nao wana conditions zao wakati wa manunuzi anazijua na zipo kwenye maandishi.

Ukiagiza gari popote pale ama showroom yoyote ile inayouza magari yaliyokwisha tumika, SIYO MAPYA jamani.

Kama imetumika nje siyo mpya, bado maelezo ni kama hapo juu.
 
Back
Top Bottom