Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Onyango pia kaondoka kimya kimya mkuuBaada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa...
Walikua wapi siku zote hizo?.hawakujua kama imejaa? Hapa Kuna usanii tu,Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa...
Ficha upuuzi wako, hujui chochote kuhusu passptWapuuzi passport ijae ni ndoo yaaji hiyo.Yasafeli pahala maviongozi ya Simba.
Itakua DRC bado wanaishi kwenye enzi za ujimaDuh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida...
Kwani maana ya kuwa na ubalozi ni nini? Si abadilishe pale mtaa gani sijuiii ulipo ubalozi wa DRC? auBaada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa.
Mashabiki wa Simba tulieni agizeni vinywaji kunyweni kwa kutulia mchezaji wenu bado yupo mtaani kwenu Msimbazi.
Onyango kapelekwa kwa mkopo Singida(contract yake na Simba bado inamwaka kuisha)Onyango pia kaondoka kimya kimya mkuu
Habari za DenmarkDuh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida.
Wakati nasoma Denmark Passport yangu iliexpire na nikaomba kupitia ubalozi wa Tanzania, Stockholm nchini Sweden na nikapata bila lolongolongo.
Inakuwaje mtu anasafiri kufuata passport nchini kwake?
Mimi nimejiuliza mchezaji anayekwenda kubadili passport kusafiri na Wakala wake.Hii ni Kweli.
Lakini kuna Muda huwa najiuliza Viongozi wetu wa Simba Huwa Wanawaza Nini, Siku zote wachezaji walikuwa mapumziko, hawakumsukuma kwenda ku renew passport baada ya Mechi yake ya Mwisho…. Muda wa Kuingia Kambini unafika mtu badala ya kwenda Kambini anaenda kushughulika na Passport yaani kuna muda unawaza hadi unachoka
Sipo huko, now niko Bongo ila nakumbuka hiyo hali, nimeshangaa mtu passport yake imejaa anaenda nchini kwake tena, wakati kuna ofisi za Kibalozi. Ofisi za kibalozi ni moja ya majukumu yao.Habari za Denmark
Elewa neno DenmarkDuh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida.
Wakati nasoma Denmark Passport yangu iliexpire na nikaomba kupitia ubalozi wa Tanzania, Stockholm nchini Sweden na nikapata bila lolongolongo.
Inakuwaje mtu anasafiri kufuata passport nchini kwake?
Na ni jukumu kuu Mkuu.Sipo huko, now niko Bongo ila nakumbuka hiyo hali, nimeshangaa mtu passport yake imejaa anaenda nchini kwake tena, wakati kuna ofisi za Kibalozi. Ofisi za kibalozi ni moja ya majukumu yao.
Ni hawa hawa waliosema bajeti ni 13B na ghfra ikapanda ikawa 24B au wengine?Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa.
Mashabiki wa Simba tulieni agizeni vinywaji kunyweni kwa kutulia mchezaji wenu bado yupo mtaani kwenu Msimbazi.
Ni utani tu utaua mkuu.Ficha upuuzi wako, hujui chochote kuhusu passpt