Passport ya Jean Baleke imejaa arudi kwao Congo

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa.

Mashabiki wa Simba tulieni agizeni vinywaji kunyweni kwa kutulia mchezaji wenu bado yupo mtaani kwenu Msimbazi.
 
Wapuuzi passport ijae ni ndoo yaaji hiyo.Yasafeli pahala maviongozi ya Simba.
 
Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa...
Onyango pia kaondoka kimya kimya mkuu
 
Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa...
Walikua wapi siku zote hizo?.hawakujua kama imejaa? Hapa Kuna usanii tu,

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hv wanaposema "passport imekaa" wanamaanisha nn?

Nliskia Kwa nabi wakati wa game ya yanga na Tpazembe na saiv Kwa baleke
 
Duh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida.

Wakati nasoma Denmark Passport yangu iliexpire na nikaomba kupitia ubalozi wa Tanzania, Stockholm nchini Sweden na nikapata bila lolongolongo.

Inakuwaje mtu anasafiri kufuata passport nchini kwake?
 
Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa.

Mashabiki wa Simba tulieni agizeni vinywaji kunyweni kwa kutulia mchezaji wenu bado yupo mtaani kwenu Msimbazi.
Kwani maana ya kuwa na ubalozi ni nini? Si abadilishe pale mtaa gani sijuiii ulipo ubalozi wa DRC? au
 
Hii ni Kweli.

Lakini kuna Muda huwa najiuliza Viongozi wetu wa Simba Huwa Wanawaza Nini, Siku zote wachezaji walikuwa mapumziko, hawakumsukuma kwenda ku renew passport baada ya Mechi yake ya Mwisho…. Muda wa Kuingia Kambini unafika mtu badala ya kwenda Kambini anaenda kushughulika na Passport yaani kuna muda unawaza hadi unachoka
 
Duh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida.

Wakati nasoma Denmark Passport yangu iliexpire na nikaomba kupitia ubalozi wa Tanzania, Stockholm nchini Sweden na nikapata bila lolongolongo.

Inakuwaje mtu anasafiri kufuata passport nchini kwake?
Habari za Denmark
 
Mimi nimejiuliza mchezaji anayekwenda kubadili passport kusafiri na Wakala wake.
 
Duh, Passport ikijaa au Kuexpire unaomba kupitia ubalozi wako na unaipata kama kawaida.

Wakati nasoma Denmark Passport yangu iliexpire na nikaomba kupitia ubalozi wa Tanzania, Stockholm nchini Sweden na nikapata bila lolongolongo.

Inakuwaje mtu anasafiri kufuata passport nchini kwake?
Elewa neno Denmark
 
Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake ambayo imejaa.

Mashabiki wa Simba tulieni agizeni vinywaji kunyweni kwa kutulia mchezaji wenu bado yupo mtaani kwenu Msimbazi.
Ni hawa hawa waliosema bajeti ni 13B na ghfra ikapanda ikawa 24B au wengine?
 
Back
Top Bottom