Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Cheti cha kuzaliwa ( muombaji)
2. Cheti cha kuzaliwa ( Mzazi)
3. Barua ya Serikali za mtaa au barua kutoka kwa mwajiri kama umeajiriwa.
4. Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA
Affidavity inatumikaKAma cheti cha kuzaliwa(Mzazi) hakuna inakuaje hapo mkuu?
nilitaka kukoment hivyooo jaza fomu online na maswali na majibu utapata huko
Affidavity inatumika
Zoezi lote jiandae kuwa na Laki mbili. Ila itategemeana na utoshelezi wako wa viambata vya maombi hayo..
Kujaza form online Ada ni 20,000/=
Ada ya Kulipia ombi la passport ni 130,000/=.
Mda itategemeana ila ni Kati ya week mbili Hadi mwezi mmj..
UHAMIAJI hawanaga mbambamba, Kikubwa ni kukamilisha Viambatana vyote vinavyohitajika. Unaweza enda asbh Saa 3 na Saa nane mchana ukawa umemaliza kila kitu.