Passport ya kusafiria

Passport ya kusafiria

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani mpaka kupata passport yako baada ya kukamilisha maombi
 
1. Cheti cha kuzaliwa ( muombaji)
2. Cheti cha kuzaliwa ( Mzazi)
3. Barua ya Serikali za mtaa au barua kutoka kwa mwajiri kama umeajiriwa.
4. Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA
 
Zoezi lote jiandae kuwa na Laki mbili. Ila itategemeana na utoshelezi wako wa viambata vya maombi hayo..
Kujaza form online Ada ni 20,000/=
Ada ya Kulipia ombi la passport ni 130,000/=.

Mda itategemeana ila ni Kati ya week mbili Hadi mwezi mmj..

UHAMIAJI hawanaga mbambamba, Kikubwa ni kukamilisha Viambatana vyote vinavyohitajika. Unaweza enda asbh Saa 3 na Saa nane mchana ukawa umemaliza kila kitu.
 
KAma cheti cha kuzaliwa(Mzazi) hakuna inakuaje hapo mkuu?
1. Cheti cha kuzaliwa ( muombaji)
2. Cheti cha kuzaliwa ( Mzazi)
3. Barua ya Serikali za mtaa au barua kutoka kwa mwajiri kama umeajiriwa.
4. Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA
 
Sasa Kam wazee wamevuta kamba unapataje cheti Cha kuzaliwa
 
Zoezi lote jiandae kuwa na Laki mbili. Ila itategemeana na utoshelezi wako wa viambata vya maombi hayo..
Kujaza form online Ada ni 20,000/=
Ada ya Kulipia ombi la passport ni 130,000/=.

Mda itategemeana ila ni Kati ya week mbili Hadi mwezi mmj..

UHAMIAJI hawanaga mbambamba, Kikubwa ni kukamilisha Viambatana vyote vinavyohitajika. Unaweza enda asbh Saa 3 na Saa nane mchana ukawa umemaliza kila kitu.
 
Binafsi nashauri wanavyuo wenye Ndoto za kusafiri/kufanya kazi nje ya Nchi waombe passport mapema wakiwa vyuoni kwani huu utaratibu wa kusubiri zimamoto ndio huleta malalamiko mengi sana huku na pia kuchangia RUSHWA.
Vijana wengi wamekuwa wakikosa fursa, wakipoteza muda kutafuta passport huku majirani zetu wana kila kitu standby...hata muuza mboga ukimwambia kuna dili chap anaibuka na passport yake....
Tuamke!
 
Back
Top Bottom