Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

UnatakA kusema Kampuni ya mabasi kama Shabiby, halipi kodi anavyoingiza mabasi.
Sababu yeye ni mbunge?

Kama ni hivyo basi sisi ni kama mafala.
 
UnatakA kusema Kampuni ya mabasi kama Shabiby, halipi kodi anavyoingiza mabasi.
Sababu yeye ni mbunge?

Kama ni hivyo basi sisi ni kama mafala.
Hiyo ni uhakika 100% na Iko kisheria kabisa
 
Basi ndio maana wafanyabiashara wanaforce kuingia mjengoni.
Asilimia kubwa ya malori ya mizigo na mabasi ya abiria unayoyaona barabarani ni ya wanasiasa.

Na wasiowanasiasa wanatamani kuingia kwenye siasa ili kutia grisi kwenye biashara zao.

ChunguZa vzur ata watia Nia wengi kwny kura za maoni, utagundua wengi wao ni wafanyabiashara WA mabasi au malori
 
Tunahitaji wawekezaji wengi wa kiSingapore na sio wachina choka mbaya wanaokuja kuchezesha madumbwi.
Singapore wawekezaji wakubwa ni wachina wazaliwa Singapore na wenye uraia wa Singapore kama hujui

Ni kama sisi hapa wawekezaji wakubwa waarabu na wahindi halafu ujisifu kuwa hutaki waarabu na wahindi bwege wewe
 
Sizungumzii Chinese ethnics hapa nazungumzia wachina wananchi wa China na Wasingapore wananchi wa Singapore.

Wawekezaji wakubwa wa China ni Wasingapore.

I know Singapore Han Chinese wapo zaidi ya 70% na ni majority ukiondoa wa malay na wahindi ambao wapo asilimia ndogo tu lakini hawa ni Wasingapore huo uchina wao unabaki kama uasili tu wala sio utaifa.
 
Singapore wawekezaji wakubwa ni wachina wazaliwa Singapore na wenye uraia wa Singapore kama hujui

Ni kama sisi hapa wawekezaji wakubwa waarabu na wahindi halafu ujisifu kuwa hutaki waarabu na wahindi bwege wewe
Jiangalie usije ukawa bwege mwenyewe kujifanya unajua na kufikiri wenzako hawajui zaidi yako.
 
Kuna mengi nilikuwa siyajui asee
 
Hapa mkuu umenikumbusha kitu,wakati yule mfanya biashara wa SUMRY anaacha biashara ya mabasi alihojiwa akasema unapambana na watu wanaoendesha biashara chini ya gharama.Hapa nimeelewa leo
 
Hatari sana ,afrika kuendelea ngumu sana,tutawalaumu wazungu tu ila ukweli tuna mambo ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…