The King...............wa kutoka ni wakutoka tu hata umfungie nini.....si wanasema sikio la kufa halisikii dawa na adili haachi asili??
Akifanya unavyomshauri itabidi atafute shangingi la kumkeep up to date in terms of trainings juu ya mapenzi maana kama ni line ya tigo hata akimpatia itabidi ajifunze na aina za customer services zinazotolewa maana kila kukicha zinaintrodusiwa mpya......wahudumu wa kampuni hii (vicheche) ni wabunifu wa hali ya juu ati linapokuja swala la kuwaridhisha wateja wao. Maana siku hizi wengine wanatoa ile inayoitwa Perfumed Package - PP) ambapo kile mteja anatakiwa kudial number na kupewa huduma hiyo ikiwa imeambatanishwa na perfumes especially zile za kiarabu kama udi, sijui alhood--wifi naye itabidi ajifunze---- wengine wanatoa huduma ya Warm Atmosphere Package - WAP ambapo mteja anapatiwa huduma yenye vuguvugu kumpatia lile joto alipendalo--- bi shosti naye itabidi aupdate skills zake ili aweze kucompete kwenye hii mobile lines market, wengine wanatoa huduma ya Squeze and Release Package -SRP line inabanwa na kuachia, bana, achia kama inavyofanyikaga katika lile huduma ya Shinda Mkoko ya vodacom.......... sasa dada naye ajifunze ......ah kila siku vicheche wanagundua juzi mpya sasa ........dada kazi itakuwa ni kujifunza tu....mwisho wa siku bado inakula kwake anabaki analia wakati Barrick Gold Company weshamaliza hazina ya Gold kule Geita wamemwachia mahandaki tu-------- environmental destruction.
Astick tu kwenye kuboresha line yake ya Voda (Only kama ndio kinachomkimbiza prezidaa) (Kegel excercises), awe mbunifu na kuwa makini otherwise atapata presha, shell, BP mpaka Big Bon.
(naona hii wiki hii akili zangu zimechakachuliwa hizi emotional threads jamani zipunguzeni wengine tutapewa BAN za milele sasa.................)